Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Pascal kabla ya kufanya kitu lazima ujitizame kwanza. Sidhani kama Chadema wangefanya hivyo huku wakijua kuwa Lwakatare anaweza kumwaga mboga. Anaweza akamwaga mboga akafa njaa yy. Kumbuka vichwa kama 20 vilikaa na kuchambua na kuamua. Hivyo jua kuwa hilo mboga mhusika mkuu ni yy hivyo hawezi kwasababu atajichafua zaidi. Halafu Pascal chadema siyo mtu hata akitoka Mbowe chadema watajipanga na watasonga mbele. Chadema ni mawazo mbadala hata ikifa watakuja wengine kwa majina mengine
 
Paskal mayala yuko kwenye miaka 60 sasa ni kibabu kaanza kuzeeka kwa kuwazia ukuu wa wilaya tokea 2015 mpaka sasa anawazia
 
Naunga mkono hoja Tatizo la chadema viongozi wake wavivu wa kusoma wanachama wake wavivu wa kusoma siungi mkono dhuruma za CCM ila sijaona bado wakikutoa madarakani kwa Aina viongozi km wa chadema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiunga 2014 ndio unafikir mie mdogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtanzania mwenye Akili timamu atakaa kumsikiliza huyo babu toka bukoba aliyefirisika kifikira
Kesi ni ushahidi, ushahidi upo, Jaji Feleshi aliwaondolea mashitaka kwa kuombwa na mkuu wa nchi baada ya kwenda kuombwa na viongozi wa CHADEMA, kumbuka ushahidi wa chama kushiriki matendo yale ya kigaidi upo, na wale watu wote bado wapo, Lwakatare ndo alikuwa Mkurugenzi wa ulinzi na usalama "ndiye aliyepewa jukumu na chama kuyasimamia yale, leo kesi ikifufuliwa CHADEMA kinafutwa kwa mujibu wa sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri watanzania wengi ni wapinzani moyoni hivyo inasaidia kutafakari zaidi ingekuwa watanzania wengi ni ccm ndipo ingekuwa tatizo
 
Tumetafuta njia za kuimaliza chadema, kwenye vikao toka mwaka 2006, na wakina Masha, Nchimbi, Wasira, Mwigulu, January, Pinda, Nape, Kinana, mpaka leo Jiwe na Bashiru na Bashite lakini wapi tulikwama kesi zote ni propaganda miaka 15.
 
Hakuna kesi hapo fufua hata kama hakimu analala ikulu hiyo kesi haambulii kitu na hakuna chadema kufutwa acha kuota ndoto sa usingizi wa kukesha ukalala asubuhi
 
Mtu kama wewe unayejiita Mwandishi nguli hupaswi kuandika porojo. Hebu nikuulize unijibu kwa faida yetu sote;
1.Hiyo mboga aliyonayo Rwakatale Dr Silaha hakuwahi kuiona?
2.Kama hatima ya CHADEMA iko mikononi mwa Rwakatale unamaanisha CHADEMA imejengwa juu ya Rwakatale?
3.Kama CHADEMA imejengwa juu ya Rwakatale ambaye akiondoka inabomoka, ilikuwaje akaishia cheo cha kati kinachomhusisha na ulinzi wa chama pekee badala hata ya kufikia KM?
4.Rwakatale ameipigania CHADEMA ni sahihi kwa sababu ndicho chama chake mpaka alipofukuzwa juzi, je CHADEMA hawakumpigania Rwakatale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu umeandika vizuri, uhai wa chama si uwingi wa wabunge bungeni, bali ni uwingi wa wananchi wanao kiunga mkono,.Siku wananchi hao wakiamua kuamka na kudai nchi yao kupitia chama wanacho kiamini haitajalisha kina wabunge wangapi bungeni, sababu wamesha jua wabunge wanapatikana namna gani Tanzania, sio kwa njia ya haki na democrasia, bali ni kwanjia za rushwa na kupitia tume ya uchaguzi ya CCM. Ambayo ipo corrupted.
 
Yaani wewe mzee unazeeka vibaya sana. Kwanza lwakatare ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…