Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Tumetafuta njia za kuimaliza chadema, kwenye vikao toka mwaka 2006, na wakina Masha, Nchimbi, Wasira, Mwigulu, January, Pinda, Nape, Kinana, mpaka leo Jiwe na Bashiru na Bashite lakini wapi tulikwama kesi zote ni propaganda miaka 15.
acutally sasa hivi na haya wanayoyafanya CCM na serikali yake, mfano ya Mdude chadema kumbambikia maafa, CDM imejengeka down to innermost chamber of Tanzanians hearts!
 
Wanabodi,
Kuna vitu mimi huwa navisema humu na watu wanavichukulia poa, ila vikija kutokea ndipo wenye uelewa wanaanza kuelewa nilikuwa nazungumzia nini.

Hivi ni baadhi ya vitu nilivyovisema na kweli vikaja kutokea
  1. Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
  2. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
  3. Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums
  4. Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? - JamiiForums
  5. Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba - JamiiForums
Sasa ninachokisema leo ni kuwa sio wengi wanajua kuwa hatma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Wilfred Lwakatare?. Chadema imepakua ugali kwa kila mtu kupewa ugali kwenye sahani yake, Kamati Kuu ya Chadema, wakaamua kuipindua sahani ya ugali wa Lakwatare, na kuumwaga ugali ili Lwakatare asile, huku wengine wote wakiwa na ugali wao kwenye sahani zao, wakisubiri bakuli la mboga litetwe, huku haku mwenye kumbukumbu ni nani aliyetumwa jikoni kwenda kuleta bakuli ya mboga, watu wapakuliwe ndipo wale!.

Mara aliyeibuka jikoni na bakuli ya mboga ni Mhe. Wilfred Lwakatare!, Amelishika bakuli la mboga za moto kwa mikono yake, huku mikono yake inaungua lakini amestahimili na kuvumilia huku akitokwa machozi, jasho na damu, kwa ajili ya Chadema!. Kabla hajalitua bakuli la mboga ili watu watu wapakue wote wale, akandua kuwa ugali wake umemwagwa!.

Wakati wanamwaga ugali wake, hakuna aliyekumbuka kuwa anayesubiriwa kuleta mboga watu wale ni Lwakatare, hivyo sasa wote wamenyamaza kimya kusubiria Lwakatare, atafanya nini baada ya kubaini Chadema wamemwaga ugali wake, huku mwenye bakuli ya mboga ni yeye!, sasa hatima ya kama Chadema watakula ama hawali, ikomikononi mwa Lwakatare, baada ya wao kumwaga ugali, Lwakarare akiamua kumwaga mboga, then wanakosa wote!, Chadema ndio inakuwa kwishney!.

Ili uelewa mimi nazungumza nini, ni lazima kwanza ukijue kisa, ambacho ndio bakuli ya mboga.
Kisa chenyewe ni hiki.
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums

Chadema ni chama cha ajabu sana!, kuna watu unaweza kuwatimua lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.

Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.

Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.

Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.
Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.

Kufuatia hiyo video niliyoitaja kule juu, nilipokuta na Msajili wa vyama alisema
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...! - JamiiForums

Sasa hiyo endapo katika bandiko hilo, ndilo bakuli la mboga, Lwakatare amelishikilia, licha ya yeye kunwagiwa ugali wake, anaweza kuamua yeye ndio akose na kulala njaa, hivyo atalitua tuu hilo bakuli la mboga na wengine wote wale, na yeye tuu ndio akafie mbele, ila akiamua kuonyesheana ubabe, na mambo yanakuwa ni ubabe ubabe tuu, maadamu wamemwaka ugali, na yeye anamwaga mboga...
yatakuwa mengine!.

Lets keep watching tukisubiria Lwakatare ataamua nini, ila amini usiamini, hatima ya Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Lwakatare!, kubali, kataa!.

Paskali
P.
mimi ni mwanaccm damu wazaz nao ni ccm dam dam ila kwa muhula huu kura yangu mtaisikia kwenye mabomba' watu mnafikilia kwa kutumia matumbo wa kazi gani sasa!! na hyo shule uloenda nadhan ulisomea ujinga rudi tena na tena mana unatetea mambo ya ajabu cjuw mnashindwa kujua tupo kwenye kizazi kipi
#ccm mnakwama sana sana
cc pascal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimesoma bandiko lako la magufuli kuja kua raisi, daah ulipatia mule mule maaana ulitaja hadi weakness zake na kweli ndo izo izo
 
Kwa kifupi wewe huwa huipendi CHADEMA....sijui Chama hiki kilikukosea nini!...Watu wamekufa...watu wanavilema...watu wamepoteza Mali...Leo Chama kife eti kwa sababu Lwakatare kaongea...sio rahisi kiivyo.
 
Karma ya Dr.Slaa itacharaza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali toka afirisiwe na kunyang'anywa tenda mbali mbali akili yake bado haijakaa sawa.
Ukiona kiongozi ana mawazo ya kuifuta Chadema basi huyo siyo kiongozi.
Futa maradhi ,umaskini na ujinga siyo kuifuta Chadema huo ndiyo uongozi.
 
Rwakatare atakuwa zaidi ya Dr. Slaa. Someni mazingira CHADEMA imevuka hatua ya kumtegemea mtu.
 
Tuache kuongozwa na mahaba ya kitoto na wingi wa maandishi, Pascal nakuhehimu sana na ukweli unaujua, CHADEMA is there to stay, mark my word, hata akiondoka Mbowe, hakuna wa kuimaliza CHADEMA na unaujua ukweli.

Kuandika kwa kirefu sana na reference za thread ambazo mwandishi ni wewe mweyewe hakusaidii chochote kile ndugu yangu. aliondoka Zito mkaandika weeee, akaondoka Slaa mkachonga sana, lakini pata picha ya uchaguzi serikali za mitaa mwaka jana, wote tunajua nini kilitokea. Tusijidanganye wala kujifariji kwa mambo ya kitoto. Tujadili issues muhimu. Chadema IFE huku mnamuogopa Mdude Chadema? Hahhahaahaha

Leo hii Wapinzani wametoka Bungeni, Bunge zima limewageuza kuwa mjadala! Why? kwasababu wako strong. kwasababu uwepo wao una mtetemo mkubwa. Tusijifungie Dar na kuandika tu
Aisee umeandika vzur Sana[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wa wachangia hasa wafuasi wa Chadema hawajui Chochote ama ni wasahaulifu ama wamejitoa ufahamu.

Rwakatare amekuwa Mkurugenzi wa Ulinzi usalama na operation za Chadema Taifa.

Huwezi kutamka mafaniko ya ama mapungufu ya Red breged bila kumhusisha Rwakatare..

Rwakatare anasiri nyingi sana za Chadema hasa kuhusiana na mambo ya Chadema ya nyuma ya pazia.

Mayalla ametahadhalisha tu, Viongozi wa Chadema ndio wanajua nini Mayalla anamaanisha hasa Mbowe.

Siku Rwakatare akiamua kumwaga mboga, zitapigwa kelele nyingi sana kuwa amehongwa ama amenunuliwa ila Chadema watakuwa wamechelewa.

Chadema imesimama mpaka leo sababu ya juhudi za wazi na Umafia wa nyuma ya pazia ambao Rwakatare anaujua na viongozi wa Chadema.

Umafia haukwepeki iwe kwenye biashara, siasa ,kanisani ama kwenye maisha ya kawaida...

Mpeni heshima yake Rwakatare, kwanza Hana nia na ubunge tena anapumzika siasa na makando kando yake yote.

Halafu mkumbuke Mwigulu ni Waziri wa Katiba na Sheria, na Jamaa hana tofauti sana na Rwakatare kwenye nyendo zao za kisiasa...

Hakuna asiejua Umafia wa Mwigulu kwenye siasa za Tanzania

Kwakweli Rwakatare akiamua, tujiandae hashtag##### za kutosha.
 
Back
Top Bottom