kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hatima ya CHADEMA ipo mioyoni mwa Watanzania na wala si kw Lwakatare
Umenena vyema sana, MUNGU akubariki piaNdugu umeandika vizuri, uhai wa chama si uwingi wa wabunge bungeni, bali ni uwingi wa wananchi wanao kiunga mkono,.Siku wananchi hao wakiamua kuamka na kudai nchi yao kupitia chama wanacho kiamini haitajalisha kina wabunge wangapi bungeni, sababu wamesha jua wabunge wanapatikana namna gani Tanzania, sio kwa njia ya haki na democrasia, bali ni kwanjia za rushwa na kupitia tume ya uchaguzi ya CCM. Ambayo ipo corrupted.
Wanabodi,
Kuna vitu mimi huwa navisema humu na watu wanavichukulia poa, ila vikija kutokea ndipo wenye uelewa wanaanza kuelewa nilikuwa nazungumzia nini.
Hivi ni baadhi ya vitu nilivyovisema na kweli vikaja kutokea
Sasa ninachokisema leo ni kuwa sio wengi wanajua kuwa hatma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Wilfred Lwakatare?. Chadema imepakua ugali kwa kila mtu kupewa ugali kwenye sahani yake, Kamati Kuu ya Chadema, wakaamua kuipindua sahani ya ugali wa Lakwatare, na kuumwaga ugali ili Lwakatare asile, huku wengine wote wakiwa na ugali wao kwenye sahani zao, wakisubiri bakuli la mboga litetwe, huku haku mwenye kumbukumbu ni nani aliyetumwa jikoni kwenda kuleta bakuli ya mboga, watu wapakuliwe ndipo wale!.
- Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
- Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba - JamiiForums
Mara aliyeibuka jikoni na bakuli ya mboga ni Mhe. Wilfred Lwakatare!, Amelishika bakuli la mboga za moto kwa mikono yake, huku mikono yake inaungua lakini amestahimili na kuvumilia huku akitokwa machozi, jasho na damu, kwa ajili ya Chadema!. Kabla hajalitua bakuli la mboga ili watu watu wapakue wote wale, akandua kuwa ugali wake umemwagwa!.
Wakati wanamwaga ugali wake, hakuna aliyekumbuka kuwa anayesubiriwa kuleta mboga watu wale ni Lwakatare, hivyo sasa wote wamenyamaza kimya kusubiria Lwakatare, atafanya nini baada ya kubaini Chadema wamemwaga ugali wake, huku mwenye bakuli ya mboga ni yeye!, sasa hatima ya kama Chadema watakula ama hawali, ikomikononi mwa Lwakatare, baada ya wao kumwaga ugali, Lwakarare akiamua kumwaga mboga, then wanakosa wote!, Chadema ndio inakuwa kwishney!.
Ili uelewa mimi nazungumza nini, ni lazima kwanza ukijue kisa, ambacho ndio bakuli ya mboga.
Kisa chenyewe ni hiki.
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums
Chadema ni chama cha ajabu sana!, kuna watu unaweza kuwatimua lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.
Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.
Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.
Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.
Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.
Kufuatia hiyo video niliyoitaja kule juu, nilipokuta na Msajili wa vyama alisema
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...! - JamiiForums
Sasa hiyo endapo katika bandiko hilo, ndilo bakuli la mboga, Lwakatare amelishikilia, licha ya yeye kunwagiwa ugali wake, anaweza kuamua yeye ndio akose na kulala njaa, hivyo atalitua tuu hilo bakuli la mboga na wengine wote wale, na yeye tuu ndio akafie mbele, ila akiamua kuonyesheana ubabe, na mambo yanakuwa ni ubabe ubabe tuu, maadamu wamemwaka ugali, na yeye anamwaga mboga...
yatakuwa mengine!.
Lets keep watching tukisubiria Lwakatare ataamua nini, ila amini usiamini, hatima ya Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Lwakatare!, kubali, kataa!.
Paskali
P.
Itikadi ya ccm ni kuwabambikia kesi
Well said, pascal is just a puppet prophet of doom. Through his writings, empty headed take actions, and he celebrates by quoting his threads and favorite remark of 'I told you so'. No wonder walisema kuwa amewasha [emoji91][emoji91] kwa KabenderaTuache kuongozwa na mahaba ya kitoto na wingi wa maandishi, Pascal nakuhehimu sana na ukweli unaujua, CHADEMA is there to stay, mark my word, hata akiondoka Mbowe, hakuna wa kuimaliza CHADEMA na unaujua ukweli.
Kuandika kwa kirefu sana na reference za thread ambazo mwandishi ni wewe mweyewe hakusaidii chochote kile ndugu yangu. aliondoka Zito mkaandika weeee, akaondoka Slaa mkachonga sana, lakini pata picha ya uchaguzi serikali za mitaa mwaka jana, wote tunajua nini kilitokea. Tusijidanganye wala kujifariji kwa mambo ya kitoto. Tujadili issues muhimu. Chadema IFE huku mnamuogopa Mdude Chadema? Hahhahaahaha
Leo hii Wapinzani wametoka Bungeni, Bunge zima limewageuza kuwa mjadala! Why? kwasababu wako strong. kwasababu uwepo wao una mtetemo mkubwa. Tusijifungie Dar na kuandika tu
Ngoja nitamtaja, hawezi kumwondoa maana ana siri zake nyingi za kumpeleka ICCMtaje jina? Wenye siri kubwa za chadema ni Lisu mbowe mdee mnyika lema na wengineo wachache na hao polepole keshajaribu kuwanunua kashindwa
tangu ameondoka Slaa 2015 chadema imeisha ongeza nini? Kama sio kupukutika kabisa.Umeongea point hakuna mtu ambaye haijui chadema nje ndani Kama slaa, ameondoka na still wako imara sio rahis Kama anavyodhani
Lazima ijulikane kuwa Bwana Pascal Lwakatare amejulikana na kuwa maarufu kupitia CHADEMA,lakini CHADEMA haikuwa maarufu na kupata hao wabunge wote kupitia Lwakatare, kama una upeo utaona hiyo tofauti.Umenena vyema sana, MUNGU akubariki pia
Wanabodi,
Kuna vitu mimi huwa navisema humu na watu wanavichukulia poa, ila vikija kutokea ndipo wenye uelewa wanaanza kuelewa nilikuwa nazungumzia nini.
Hivi ni baadhi ya vitu nilivyovisema na kweli vikaja kutokea
Sasa ninachokisema leo ni kuwa sio wengi wanajua kuwa hatma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Wilfred Lwakatare?. Chadema imepakua ugali kwa kila mtu kupewa ugali kwenye sahani yake, Kamati Kuu ya Chadema, wakaamua kuipindua sahani ya ugali wa Lakwatare, na kuumwaga ugali ili Lwakatare asile, huku wengine wote wakiwa na ugali wao kwenye sahani zao, wakisubiri bakuli la mboga litetwe, huku haku mwenye kumbukumbu ni nani aliyetumwa jikoni kwenda kuleta bakuli ya mboga, watu wapakuliwe ndipo wale!.
- Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
- Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba - JamiiForums
Mara aliyeibuka jikoni na bakuli ya mboga ni Mhe. Wilfred Lwakatare!, Amelishika bakuli la mboga za moto kwa mikono yake, huku mikono yake inaungua lakini amestahimili na kuvumilia huku akitokwa machozi, jasho na damu, kwa ajili ya Chadema!. Kabla hajalitua bakuli la mboga ili watu watu wapakue wote wale, akandua kuwa ugali wake umemwagwa!.
Wakati wanamwaga ugali wake, hakuna aliyekumbuka kuwa anayesubiriwa kuleta mboga watu wale ni Lwakatare, hivyo sasa wote wamenyamaza kimya kusubiria Lwakatare, atafanya nini baada ya kubaini Chadema wamemwaga ugali wake, huku mwenye bakuli ya mboga ni yeye!, sasa hatima ya kama Chadema watakula ama hawali, ikomikononi mwa Lwakatare, baada ya wao kumwaga ugali, Lwakarare akiamua kumwaga mboga, then wanakosa wote!, Chadema ndio inakuwa kwishney!.
Ili uelewa mimi nazungumza nini, ni lazima kwanza ukijue kisa, ambacho ndio bakuli ya mboga.
Kisa chenyewe ni hiki.
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums
Chadema ni chama cha ajabu sana!, kuna watu unaweza kuwatimua lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.
Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.
Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.
Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.
Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.
Kufuatia hiyo video niliyoitaja kule juu, nilipokuta na Msajili wa vyama alisema
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...! - JamiiForums
Sasa hiyo endapo katika bandiko hilo, ndilo bakuli la mboga, Lwakatare amelishikilia, licha ya yeye kunwagiwa ugali wake, anaweza kuamua yeye ndio akose na kulala njaa, hivyo atalitua tuu hilo bakuli la mboga na wengine wote wale, na yeye tuu ndio akafie mbele, ila akiamua kuonyesheana ubabe, na mambo yanakuwa ni ubabe ubabe tuu, maadamu wamemwaka ugali, na yeye anamwaga mboga...
yatakuwa mengine!.
Lets keep watching tukisubiria Lwakatare ataamua nini, ila amini usiamini, hatima ya Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Lwakatare!, kubali, kataa!.
Paskali
P.
wewe humjui yule anayemkusanyia waganga mkubwa au unataka kurefusha mada tu ?Mtaje jina? Wenye siri kubwa za chadema ni Lisu mbowe mdee mnyika lema na wengineo wachache na hao polepole keshajaribu kuwanunua kashindwa
Mkuu kwa hao wachangiaji wa Chadema unaona kuna chama hapo? Chadema kimeishakufa, wao wanadai haijafa. Wabunge zaidi ya ishirini wameondoka au wamefukuzwa. Madiwani zaidi ya mia wameondoka. Viongozi wa Wlaya, Mikoa na Kanda wameondoka. Wao wapo nyuma ya keyboards zao eti Chadema haifi! Sawa, hata Mzee Rungwe yupo na chama chake hakijafa!Kwa sasa chadema inaendeshwa na Mdee, Bulaya, na Lema, usitegemee akili kutumika hapo. Prof. Safari na Prof. Baregu sijui hawapo tena, mtanisaidia kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
What was first, Lwakatare au CHADEMA? Nani alimfanya mwenzake kuwa maarufu? Nikuwa Lwakatare ndio aliifanya CHADEMA kuwa maarufu au CHADEMA ilimfanya Lwakatare kuwa maarufu? Slaa na Lwakatare nani alikuwa na influence kubwa ndani ya CHADEMA?Wanabodi,