thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Aapishwe na nani ?,labda fisi ,pathetic!Hayo mtaenda kufungua mashitaka baada ya Tundu Lisu kuapishwa kuwa Raisi 2020,ila kwa sasa tena msirukie huko na kutaka kupotosha.lengo ni kuiondoa CCM hatusikii hatuoni liwalo na liwe lakini CCM kwanza ikae pembeni.
Hata kura ya maoni inaweza kutaarishwa kwa hilo linalowakwaza.Ila sasa kwanza CCM wakae chonjo wapumzishwe.
Mashariki na Magharibi sio nchi, kama wewe unasema ni Nch Raisi wao ni nani? Hessen ni Nchi raisi wao ni Buffie Nani Raisi wa magharibi na nani wa Mashariki? Zamani Zilikuwa Ujerumani mbili, muja ilikuwa na Nci 8 na nyengine 9sasa ni moja yenye nchi 17Sasa unajipinga mwenyewe? Nimesema nchi mbili za Ujerumani magharibi na Mashariki hapo kabla ya kuungana. Wewe vipi?
CHADEMA ndio wanataka kuifuta. Wanataka tuwe na wanasiasa watupu eti "Kama mnataka mkuu wa mkoa, mtachagua"Kwahiyo ata Serikali za mitaa zitafutwa?
Maana Federal System ndiyo imezaa Decentralization by Devolution.
D by D
Hajaingilia. Yeye Kama mkuu wa nchi anajua mipango yote. Kila anapofika eneo husika anakuwa ameshaelezwa hapo kumetengwa shilingi ngapi kwaajili ya Jambo flani. Lakini kwa mamlaka yake, anaweza kuelekeza Jambo likatekelzwaSasa pesa anayoagiza ipelekwa Itigi kujenga 10 km ya nini? Au ameingilia madaraka ya wengine ....!!
Sasa kujitekenya ujiyekenye wewe na kucheka ucheke wewe. Kwani kwa mfumo wa sasa hilo haliwezekani mpaka kuwe na majimbo ambayo yatatugawa zaidi?Ondokana na mawazo ya kijima ya kufikiria kazi lazima itoke serikalini,maendeleo yakiwepo ya kutosha hata huko kusubiri kupangiwa kazi kutokana na ajira za serikali kutaondoka. Marekani watu wengi zaidi wanatoka jimbo moja kwenda lingine kufanya biashara kuliko kusubiri kupangiwa kazi za serikali kuu kwa sababu mfumo wao umewezesha watu binafsi kuzifikia fursa binafsi za biashara na kazi zaidi kuliko ajira za serikali.
Sawa. Yalikuwa yanaongezwa kutoka wapi? Hapo mwanzo hayakuwa na watu wanayoyakalia? Hawakuwa na uoungozi?Ni majimbo yanayojiongeza sio yaliyokuwa yanajiongeza kwa sababu hayakuanza yote pamoja,yalianza majimbo 13 na yakazidi kuongezeka kwa njia mbalimbali mpaka kufika 50 sio hata 51.
Sasa Kama ni hivyo mnataka nini Sasa?Unajua hata sasa hivi Tanzania tunao mfumo wa majimbo indirect? Nitajie matawi ya bank kuu Tanzania, unadhani ni kwanini hawana matawi nchi nzima? Mkemia mkuu wa serikali, unajua ofisi zake/matawi yake na yenyewe yapo kikanda? Sijui kama unajua hata mashtaka ya wanaofukuzwaga kazi, hizo mahakama nazo zipo kikanda? Anyway, kama vipi mnaonaje Zanzibar na bara iwe tu nchi moja kama tunavyohubiriana ili Zanzibar iwe kama ilivyo mikoa mingine?
Ndiyo maana tunasema serikali kuu isijihusishe na miradi midogo midogo. Rais hawezi kufika Kila kona ya nchi. Mambo ya Choo cha stand yaangaliwe na local governments. Ndiyo maana utakuta Rais anakariri miradi ili kuwa impress wananchi which is not necessary.Hajaingilia. Yeye Kama mkuu wa nchi anajua mipango yote. Kila anapofika eneo husika anakuwa ameshaelezwa hapo kumetengwa shilingi ngapi kwaajili ya Jambo flani. Lakini kwa mamlaka yake, anaweza kuelekeza Jambo likatekelzwa
Mbona huelewi ndugu? Nimesema zilikuwaMashariki na Magharibi sio nchi, kama wewe unasema ni Nch Raisi wao ni nani? Hessen ni Nchi raisi wao ni Buffie Nani Raisi wa magharibi na nani wa Mashariki? Zamani Zilikuwa Ujerumani mbili, muja ilikuwa na Nci 8 na nyengine 9sasa ni moja yenye nchi 17
CHADEMA hawana maana ya kubadilisha mikoa kuita majimbo bali watakusanya mikoa kadhaa sehemu moja na kuunda JimboNi mfumo mzuri watu kama Dar wako mil 5 wanaongozwa na mkuu wa mkoa ambaye hawajampigia KURA na hamuzi kumuondoa. Kwa mfumo wa majimbo atagombea awekwe anayekubalika na atakaye wajibika wa wana Dar es salaam sio vituko vya akina Bashite
Wewe aliyekuambia shida ya Watanzania ni mfumo wa majimbo n nani? Tunataka vitu vya maanaShida ya watanzania wameshazoe shida na kudanganywa na ccm, ..kila kitu kipya tunajioneaa shida, lakini jambo hilo hilo lingependekezwa na ccm wangeona ndio sawa.
Zakuambiwa changanya na zakoHumu watu waongo saaana dah