Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Hayo mtaenda kufungua mashitaka baada ya Tundu Lisu kuapishwa kuwa Raisi 2020,ila kwa sasa tena msirukie huko na kutaka kupotosha.lengo ni kuiondoa CCM hatusikii hatuoni liwalo na liwe lakini CCM kwanza ikae pembeni.
Hata kura ya maoni inaweza kutaarishwa kwa hilo linalowakwaza.Ila sasa kwanza CCM wakae chonjo wapumzishwe.
Aapishwe na nani ?,labda fisi ,pathetic!
 
Sasa unajipinga mwenyewe? Nimesema nchi mbili za Ujerumani magharibi na Mashariki hapo kabla ya kuungana. Wewe vipi?
Mashariki na Magharibi sio nchi, kama wewe unasema ni Nch Raisi wao ni nani? Hessen ni Nchi raisi wao ni Buffie Nani Raisi wa magharibi na nani wa Mashariki? Zamani Zilikuwa Ujerumani mbili, muja ilikuwa na Nci 8 na nyengine 9sasa ni moja yenye nchi 17
 
Kwahiyo ata Serikali za mitaa zitafutwa?
Maana Federal System ndiyo imezaa Decentralization by Devolution.
D by D
CHADEMA ndio wanataka kuifuta. Wanataka tuwe na wanasiasa watupu eti "Kama mnataka mkuu wa mkoa, mtachagua"
 
Sasa pesa anayoagiza ipelekwa Itigi kujenga 10 km ya nini? Au ameingilia madaraka ya wengine ....!!
Hajaingilia. Yeye Kama mkuu wa nchi anajua mipango yote. Kila anapofika eneo husika anakuwa ameshaelezwa hapo kumetengwa shilingi ngapi kwaajili ya Jambo flani. Lakini kwa mamlaka yake, anaweza kuelekeza Jambo likatekelzwa
 
Unajua hata sasa hivi Tanzania tunao mfumo wa majimbo indirect? Nitajie matawi ya bank kuu Tanzania, unadhani ni kwanini hawana matawi nchi nzima? Mkemia mkuu wa serikali, unajua ofisi zake/matawi yake na yenyewe yapo kikanda? Sijui kama unajua hata mashtaka ya wanaofukuzwaga kazi, hizo mahakama nazo zipo kikanda? Anyway, kama vipi mnaonaje Zanzibar na bara iwe tu nchi moja kama tunavyohubiriana ili Zanzibar iwe kama ilivyo mikoa mingine?
 
Ondokana na mawazo ya kijima ya kufikiria kazi lazima itoke serikalini,maendeleo yakiwepo ya kutosha hata huko kusubiri kupangiwa kazi kutokana na ajira za serikali kutaondoka. Marekani watu wengi zaidi wanatoka jimbo moja kwenda lingine kufanya biashara kuliko kusubiri kupangiwa kazi za serikali kuu kwa sababu mfumo wao umewezesha watu binafsi kuzifikia fursa binafsi za biashara na kazi zaidi kuliko ajira za serikali.
Sasa kujitekenya ujiyekenye wewe na kucheka ucheke wewe. Kwani kwa mfumo wa sasa hilo haliwezekani mpaka kuwe na majimbo ambayo yatatugawa zaidi?

Ishu ya kazi haiko serikalini pekee na sina niliposena hivyo
 
Ni majimbo yanayojiongeza sio yaliyokuwa yanajiongeza kwa sababu hayakuanza yote pamoja,yalianza majimbo 13 na yakazidi kuongezeka kwa njia mbalimbali mpaka kufika 50 sio hata 51.
Sawa. Yalikuwa yanaongezwa kutoka wapi? Hapo mwanzo hayakuwa na watu wanayoyakalia? Hawakuwa na uoungozi?

Marekani iliteka, kuridhiana na kununua baadhi ya Majimbo yake
 
Unajua hata sasa hivi Tanzania tunao mfumo wa majimbo indirect? Nitajie matawi ya bank kuu Tanzania, unadhani ni kwanini hawana matawi nchi nzima? Mkemia mkuu wa serikali, unajua ofisi zake/matawi yake na yenyewe yapo kikanda? Sijui kama unajua hata mashtaka ya wanaofukuzwaga kazi, hizo mahakama nazo zipo kikanda? Anyway, kama vipi mnaonaje Zanzibar na bara iwe tu nchi moja kama tunavyohubiriana ili Zanzibar iwe kama ilivyo mikoa mingine?
Sasa Kama ni hivyo mnataka nini Sasa?
 
Mleta post,Kama upinzani umeahakufa na Chadema wanatumia picha za zamani kuaminiaha watu kuwa wanakubalika ,kinacho kuumiza kichwa ni kitu gani?

Mtaongea lugha zate mwaka huu.
 
Hajaingilia. Yeye Kama mkuu wa nchi anajua mipango yote. Kila anapofika eneo husika anakuwa ameshaelezwa hapo kumetengwa shilingi ngapi kwaajili ya Jambo flani. Lakini kwa mamlaka yake, anaweza kuelekeza Jambo likatekelzwa
Ndiyo maana tunasema serikali kuu isijihusishe na miradi midogo midogo. Rais hawezi kufika Kila kona ya nchi. Mambo ya Choo cha stand yaangaliwe na local governments. Ndiyo maana utakuta Rais anakariri miradi ili kuwa impress wananchi which is not necessary.
 
Ni mfumo mzuri watu kama Dar wako mil 5 wanaongozwa na mkuu wa mkoa ambaye hawajampigia KURA na hamuzi kumuondoa. Kwa mfumo wa majimbo atagombea awekwe anayekubalika na atakaye wajibika wa wana Dar es salaam sio vituko vya akina Bashite
 
Mashariki na Magharibi sio nchi, kama wewe unasema ni Nch Raisi wao ni nani? Hessen ni Nchi raisi wao ni Buffie Nani Raisi wa magharibi na nani wa Mashariki? Zamani Zilikuwa Ujerumani mbili, muja ilikuwa na Nci 8 na nyengine 9sasa ni moja yenye nchi 17
Mbona huelewi ndugu? Nimesema zilikuwa
 
Ni mfumo mzuri watu kama Dar wako mil 5 wanaongozwa na mkuu wa mkoa ambaye hawajampigia KURA na hamuzi kumuondoa. Kwa mfumo wa majimbo atagombea awekwe anayekubalika na atakaye wajibika wa wana Dar es salaam sio vituko vya akina Bashite
CHADEMA hawana maana ya kubadilisha mikoa kuita majimbo bali watakusanya mikoa kadhaa sehemu moja na kuunda Jimbo
 
Tutawahubiria Watanzania wa mijini na vijijini ubaya huu na jinsi chama hiki kinavyotaka kupoteza umoja na kukumbatia ukabila na udini kwa wanachotaja kutekeleza. Matatizo yet sio majimbo
 
Shida ya watanzania wameshazoe shida na kudanganywa na ccm, ..kila kitu kipya tunajioneaa shida, lakini jambo hilo hilo lingependekezwa na ccm wangeona ndio sawa.
Wewe aliyekuambia shida ya Watanzania ni mfumo wa majimbo n nani? Tunataka vitu vya maana
 
Back
Top Bottom