Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Wewe binafsi umekosa Uhuru gani?
 

Zanzibar itakuwa jimbo sio?
 
Tatizo lao kuu ni kushindwa kuuficha ukweli waujuao kwa alinacha zisizo mashiko.
 
Hao Watendaji na Wakuu wa Wilaya wasiteuliwe na serikali, wachaguliwe na wananchi kama Madiwani. Mkurugenzi awe mwajiriwa wa Wilaya husika na siyo mteule wa Rais toka Dodoma!!
Tutakua na chaguzi za kutosha
Kwamba kila mtu anefanya shughuli tunamchagua.
Hata huyo mkurugenzi tutataka kumchagua kwadababu anatuongoza na mwalimu mkuu wa Shule tutamchagua pia.
Sisi Tutakua na demokrasia pana Sana dunia Mzima na tutakua na bajeti ya uchaguzi kubwa Sana.
Sidhani kwamba watanzania wako kwenye uwezo mzuri wa Kuchagua kwasasa ndio maana unaona wagombea wengi wanapiga porojo majukwaani.
Kuna Watu uwezo wao nimdogo sana lakini utashangaa wameshinda uchaguzi.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Mimi binafsi siungi mkono mfumo wa majimbo. Chadema wanaendeshwa na fikra za ubinafsi sana. Hawana nia wala haja ya kumtetea mtu wa kipato cha chini.
 
Mfumo wa majimbo ulipaswa kuanza wakati tunapata uhuru sio sasa na nashangaa kwanini ukawa mjadala sasa.
 
Umesema vizuri
 
Sio ishu ya Rais, n ishu ya bunge. Bajeti huandaliwa kutoka ngazi ya chini kabisa ili kuleta uwakilishi
Ila Rais anaweza tena wakati wa kampeni za uchaguzi kuamuru waziri peleka billion kadhaa kujenga barabara fulani, au kama msingemchagua Kapuya nisingejenga barabara hii! Huo ndio umoja? Una genye wewe si bure 🤔
 
Ndugu,

Tuna balozi mtaani
Tuna mwenyekiti
Tuna mtendaji wa Kijiji
Tuna diwani
Tuna mkurugenzi
Tuna mkuu wa wilaya

Sasa tunataka nini?
Balozi na mwenyekiti hawakuchaguliwa na wananchi bali Suleiman Jafo aliengua 99%ya wagombea wa upinzani akawapitisha misukule ya CCM.

Mtendaji wa Kijiji halikadhalika ameajiriwa na mkurugenzi na kuletwa kuwa tawala wananchi.

Diwani NEC CCM inawaengua wapinzani tu ili misukule ya CCM ipite kwa wingi ikaseme "ndiooo.." halmashauri.

Mkurugenzi kaletwa na Rais hawawakilishi wananchi ndio maana wanawaengua machaguo ya wananchi na kuacha misukule mingi.

Mkuu wa wilaya hajachaguliwa na wananchi bali anatawala kwa mamlaka ya dikteta wa ikulu na kufanya kazi za siasa kwa niaba ya chama cha Rais aliyeko madarakani.

Muundo huu hauwakilishi wananchi ndio maana tunataka majimbo ambayo viongozi wake watatokana na wananchi wenyewe kusimamia maslahi ya jimbo husika, siyo akina Jafo, Ole Sabaya, Bashites na wajinga wengine wanakuwa na mamlaka too much.

Hayo matango pori kawalishe mboga mboga
 
Umeona sasa ubaguzi wenyewe unavyoanza? Kama ingekuwa n serikali ya majimbo salamu mnazotuma ni kuwa Chato qmbayo Ni Jimbo la nchi ya Marekani wangesubiri sana kupata airport kutoka wahisani wa nchi ya Tanzania
Wewe kichaa tupe umuhimu wa kiuchumi wa airport ya Chato, au kwa sababu imejengwa kwa dikteta wenu na nyie msiokuwa na akili ya kuchallenge mnataka wote tuwe mazuzu? Nitajie ndege za kibiashara ambazo zinaenda Chato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…