Tutakua na chaguzi za kutosha
Kwamba kila mtu anefanya shughuli tunamchagua.
Hata huyo mkurugenzi tutataka kumchagua kwadababu anatuongoza na mwalimu mkuu wa Shule tutamchagua pia.
Sisi Tutakua na demokrasia pana Sana dunia Mzima na tutakua na bajeti ya uchaguzi kubwa Sana.
Sidhani kwamba watanzania wako kwenye uwezo mzuri wa Kuchagua kwasasa ndio maana unaona wagombea wengi wanapiga porojo majukwaani.
Kuna Watu uwezo wao nimdogo sana lakini utashangaa wameshinda uchaguzi.
Sent from my Infinix X603 using
JamiiForums mobile app