Je wajua kuwa Pweza wana mioyo mitatu, bongo tisa na damu ya rangi ya bluu?

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
1766161120403.jpeg

Ukweli ambao watu wengi hawaujui kuhusu Pweza ni kwamba ni kiumbe pekee cha majini chenye mioyo mitatu. Mioyo miwili husukuma damu kwenda kwenye mapafu ya baharini (gills), na moyo mmoja husukuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili. Damu yake ina rangi ya bluu kwa sababu hutumia madini ya shaba badala ya chuma. Pia Pweza wana ubongo mmoja mkuu na “ubongo midogo” tisa.

Ubongo mmoja mkuu hudhibiti tabia na maamuzi ya jumla na bongo midogo 8 hupatikana kwenye kila mkono, hivyo mikono yao inaweza kuhisi, kusogea na kujitenda kwa kiasi fulani bila kuhusisha ubongo mkuu.

Ndiyo maana pweza anaweza kutumia mikono tofauti kufanya kazi tofauti kwa wakati mmoja.

1766161288267.png
 
View attachment 3517769

View attachment 3517770
chai
 
Na ukimkata hio miguu yake inaiitwa Tentacles, baada ya muda mguu mwingine unaota
Hapo wataalamu wa tiba wanamtumia kujaribu kutafuta tiba ya saratani kusaidia seli za binadamu zilizokufa, kujiponya na kuepusha saratani.
 
Back
Top Bottom