Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

Mkuu Mayala,

Umenikumbusha pale Mlimani tukisoma PS! Dkt Ndumbaro ambaye sasa ni PS Utumishi ndiyo alikuwa mwamba wa hilo somo

Professor Mkandara mwamba wa Public Administration

Professor Baregu rip Mwamba wa International Relationship

Professor Mushi rip mwamba wa PS 100! polity!

Father Mogella mwamba wa Personally Management!

Professor Mmuya, Mumishi, Nyirabu, Liviga, Mhina !

Sweet memories!
 
"Katiba ni kitabu tu" Samia Suluhu Hassan
 
Rais yupo juu ya vyote kwa sababu:
1. Ni Mkuu wa Nchi
2. Amiri Jeshi Mkuu
Vyeo hivyo hupata baada ya mchakato wa uchaguzi unaoakisi kukiri kwa Watanzania watu wazima kuongozwa na mtu huyo.
Rais ni cheo ambacho Katiba iliyo kimya(Katiba fiche) na sheria zake hukutana na Katiba hii ya wazi na sheria zake.
 
Umeandika vema, Rais wa bongo yeye ni kila kitu hata MUNGU yupo chini yake ndiyo maana chawa wake wana msifia kuliko hata muumba wa Mbingu na nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…