Je, wajua kuwa Rooney ni mdogo kuliko Ronaldo? Hapa kuna somo kuhusu umri na uzee

Atatokea mdada mmoja lazima awaze mb0 ya Ronaldo lazima
Hapajatuna: Kiba100🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
 
Hata bongo imeshaanza kuonekana kwa vijana wengi kuonekana ni wazee kumbe wana umri mdogo. Unakuta kijana ana mvi nyingi, ana kipara, ana kitambi mpaka unaogopa imekuaje anazeeka akiwa na umri mdogo? Je ni lishe? Unywaji, mitindo ya maisha? Unatembea na kijana mdogo umemzidi umri lakini yeye ndiye anayepewa heshima ya uzee we uliyemzidi umri hupewi heshima ya uzee mbele ya kijana mdogo. Wataalam wa mambo ya makuzi watuambie
 
Nimeshangazwa na kijana mmoja niliyemuambia akanyoe ndevu zake, alinijibu kuna sehemu anaenda kununua shamba, anataka akifika huko kwa hao wanaomuuzia shamba asionekane ni kijana bali aonekane ni mzee kwa kuachia madevu yake aheshimike. Duh! Rooney anaonekana amezeeka vibaya! Hata hivyo wachezaji wengi wa ulaya tunaambiwa ni kinda wana miaka 20, 21, ukiwatazama ni wakubwa mno, wakifikisha 30 wanastaafu soka kwa kuonekana ni wazee
 
Ni malezi ya kula ovyoovyo bila kujishughulisha na kazi za mikono kama kulimalima bustani,kukwetua mazingira kwa jembe ili kuweka misuli sawa,sasa kila kitu vibarua ,wenyewe kwenye magari na stuli ndefu!Lazima haya yatokee.
 
Wazungu wanakula vyakula vyenye mbolea nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…