Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Ndio maana kila siku lazima nipige push-up 200. Kama unataka ubaki kwenye RELI. piga tizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni chumvi tumekula si haba,yote kumshukuru mungu mara ya kwanza kuangakia kombr la dunia ilikuwa 1986 nikiwa na akili zangu nyumbani kwa sheikh Yahya magomeni usalamaSjasema mzee nkimaanisha umri umeenda kaka ispokuwa nmemaanisha kuna watu ni wakubwa kias chake.
Aseeh kak hongera sana maana mm nmezaliwa 97 kwhyo heshima yako mkuu.Kama ni chumvi tumekula si haba,yote kumshukuru mungu mara ya kwanza kuangakia kombr la dunia ilikuwa 1986 nikiwa na akili zangu nyumbani kwa sheikh Yahya magomeni usalama
AsanteAseeh kak hongera sana maana mm nmezaliwa 97 kwhyo heshima yako mkuu.
Life style.
Paka piko mkuu. Si unaona akina Mwigulu, Majaliwa na Dr. Mpango!!Simshangai mi nina 28 ila mvi wananinyemelea hadi naogopa
Kiukweli naogopa nachofanya nanyoa para kuna mtu alinambia mara nyingi inasababishwa na aina fulani ya mafuta ya nywelePaka piko mkuu. Si unaona akina Mwigulu, Majaliwa na Dr. Mpango!!
Fanya jogging kwa dakika 150 kwa wiki. Uzee utakuwa unausoma tu kwenye vitabu.Ndio maana kila siku lazima nipige push-up 200. Kama unataka ubaki kwenye RELI. piga tizi.
Hayo mazoez yananidrain sana napungua haraka mnoo.Fanya jogging kwa dakika 150 kwa wiki. Uzee utakuwa unausoma tu kwenye vitabu.
Maulidi Kitenge hana tofauti kubwa Sana na mzee Mpili. Kinachombeba Kitenge ni jogging.