Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.

Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetani.

b1aa63434161f222323011896ae463bf.jpg

Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetaniView attachment 1981024
Sasa mbona hata hazijakaa ki 'satanic'? Ukiangalia nyingi zina onya mambo ya msingi kweli.

Zipo relevant na hata ukitaka ku compare na amri za Mungu zina correlate.
 
Amri za mungu ukizivunja unatenda dhambi, ukivunja za shetani unapata nini?. Au siku ya mwisho ukishidwa kuingia mbinguni ukitupwa motoni kabla ujaenda kuchomeka nae shetani anaangalia kwenye kitabu chake kama ulivunja amri zaka ukiwa na dhambi kwanye kitabu cha mungu na shetani hauendi mbinguni wala motoni unabaki unaelea.

Au motoni kuna range ya moto ukuvunja amri za mungu na za shetani moto wako ni grade A (au moto devision 1)
 
Najua Haters mtapinga tu hizo Amri za Shetani lakini Mwamba kapiga mle mle!! Mtapinga kwa ubishi tu, na wivu dhidi ya nondo za maana kwavile tumeaminishwa Mwamba sio kabisa, ingawaje kiuhaliisa, tunampigia shangwe... tena za kibingwa!

Ukweli usemwe, Mwamba hakukurupuka kama Bwana Yuleee!! Amri zake zimesimama na practical kuzidi hata zile alizotuletea Bwana Yule ambazo ni Impractical... hazitekelezeki maabara wala kwenye karakana!

Just imagine! Hakuna aliyekutaka ushauri wala kukuuliza lakini from nowhere"...oh, najua uukitaka kutoboa usawa huu, wekeza kwenye kilimo Kiongozi! Maparachichi yanalipa big time! Amini usiamini, parachichi ni Green Gold"

Pumbaaavu! Kwani we mwenyewe hutaki kutoboa? Ina maana huzitaki hizo Green Gold?! Kwamba Njombe wanakochimbua hizo green gold hukujui, ama?!

Nenda kalime mwenyewe hayo maparachchi, kenge wewe... kwani nimekuomba ushauri?

Unakuta mwingine hujamuuliza wala nini halafu eti anakushauri upande miti gani sijui ambayo kuivuna ni sawa na kifungo cha Sabaya!

Hivi zimetimia kweli wewe? Yaani kosa la babako aliyeshindwa kukulipia ada ya kusoma kozi uitakayo, na matokeo yake ukaishia kusomea Misitu SUA, halafu umeona mi ndo wa kunidondoshea jumba bovu? Unajifanya kutoa ushauri bila kuombwa ili upate sababu ya kupiga mizinga, sio?

Tena Wabongo kwa kupenda kutoa ushauri.... dah!!

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni! Mwamba anajua! Unanipigia stori za matatizo yako kwani yananihusu nini wakati mwenyewe nina matatizo kibao?!

Nenda kasimulie kanisani au msikitini huko, kama nako hawajakuona tapeli tu!
 
Amri za mungu ukizivunja unatenda dhambi, ukivunja za shetani unapata nini?. Au siku ya mwisho ukishidwa kuingia mbinguni ukitupwa motoni kabla ujaenda kuchomeka nae shetani anaangalia kwenye kitabu chake kama ulivunja amri zaka ukiwa na dhambi kwanye kitabu cha mungu na shetani hauendi mbinguni wala motoni unabaki unaelea.

Au motoni kuna range ya moto ukuvunja amri za mungu na za shetani moto wako ni grade A (au moto devision 1)
Shetani amiliki mbingu wala kuzimu
 
Back
Top Bottom