Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Kama kweli hizo ni amri za shetani, nachelea kusema huenda hata sasa mimi ni mfuasi wake bila kujijua. ( kama kutimiza hizo amri ndio sifa ya kuwa mfuasi)
 
Amri gani za shetani zimekaa kilegevu namna hiyo?

Mi nilizani amri za shetani ni kinyume cha amri za Mungu.

Mfano: Usiseme uongo - sema uongo
usitamani mke wa mwenzako - tamani mke wa mwenzako.
Ndio hizo sasa
 
Bonge la mada hii.

Huwa najiulizaga sana, shetani kabla ya kumuasi Mungu, ni siri gani za KiMungu alizoiba ambazo Mungu hakuweza kumnyang'anya? Lazima kuna siri kama hizi kanuni alizochukua zilizompa nguvu kubwa ndiyo maana kumshinda ni kisanga.

Ndiyo maana kuna watu wanaona mbona hizi kanuni zinafanana na za Mungu, ila tukumbuke Mungu anahukumu binadamu kutokana na lengo, nia au intention ya binadamu katika kutenda jambo fulani na siyo kwa kuangalia tu tendo lenyewe. Hapo tofauti kubwa ndipo ilipo.

Ziangalieni hizo kanuni kwa umakini mtaona kitu fulani.
Soma mwisho wa kila amri.. Hakuna kusamehe
Usizingue mpaka uzinguliwe
Usiuwe kama hakuna sababu
Usitongoze kama huna dalili ya kukubaliwa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona ziko vizuri tuu mkuu,kama hizo ndio za shetani basi hiyo shetani sio mbaya kwa kiasi tunachoambiwa..

Uanze kutoa ushauri hujaombwa Ili ugundue nini? We mute fanya yako.
 
Shetani anaweza kuumba hata nyasi asilia ? Au ni muasi tu anavuruga kazi ya Mwenyezi MUNGU duniani .
 
Back
Top Bottom