Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
kumbe ndo maana nyoka hawawaumi watoto wadogo sio.Amri inasema usiwadhuru watoto wadogo,hiyo ni hekima isiyopingika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ndo maana nyoka hawawaumi watoto wadogo sio.Amri inasema usiwadhuru watoto wadogo,hiyo ni hekima isiyopingika.
Ni tafsiri yako tu ndugu yangu.unasema shetani yeye ni kuharibu kuvunja na kuua, hiyo ndo kanuni yake!..
hebu ntafutie kifungu chochote cha maandiko ya dini yoyote inapoonesha shetani ameua mtu!.
mi ntakuletea mandiko ya mungu kuua watu wa Lut, kuangamiza na kuharibu kizazi cha Nuhu!. na ntakuletea vifungo kulingana na kitabu chako cha dini.
mi naona mungu ndo anaongoza kwa uharibifu na uuaji!. ata ww ukiwa na dhambi ataku oka moto kama nyama choma!.[emoji16][emoji16]
Kwani amri kumi zilitolewa na nani kati ya hao wawili?
Amri inasema usiwadhuru watoto wadogo,hiyo ni hekima isiyopingika.
kufa ni hakika,kuishi ni akili.tumia akili uishi kabla hujafa,maana kila mwenye uhai ataonja mautiSatanic laws ni logic based whatsoever,hazina uchochoro wa kujifichia whenever you messed around the Truth! Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga,and thats for real,ukikata miti utapata ukame hence njaa na majanga mengine,no excuses(no mercy) ukitaka kula lazima na wewe uliwe in one way or another, ukitaka kufanikiwa lazima ujitume,hakuna cha maji ya upako wala mafuta ya upako,wala kupiga magoti chini siku nzima haitakuletea tonge moja la ugali mezani mwako, ukiishi vizuri utakufa vizuri,if you live like a dog you'll die like a dog, dunia ina mengi sana yanayohitaji akili yako kuyatatua,na ina machache sana yanayoweza kujitatua yenyewe kwa njia ya imani,its almost zero, kufa ni hakika,kuishi ni akili.tumia akili uishi kabla hujafa,maana kila mwenye uhai ataonja mauti,ila ni wachache tu watakaoyaonja Maisha(siyo uhai)