Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.

Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetaniView attachment 1981024
Zinaweza kuwa kweli mkazipuuza lk ukashitakiwa kwazo huko mbinguni sasa sijui utasema sikujua? any way! !

Yaani Jiwe alimshinda hata shetani kwa. uuaji, kujimwambafy! aliropoka mpaka amri za kipuuzi!! ndo maana aliwaita wana DSM eti Waishi km mashetani.. mbaya zaidi akawa aenda kanisani! hata km weye ungekuwa shetani utakubali udhihakiwe ivo?

yaani mtu ni wako labda tuseme mke au house keeper!! unamtumia.... anajua siri zako baadae anaenda kukusema kwingine vibaya! ivi utajisikiaje? yaani jiwe hakujua amtumikie nani ndo shida ilipoanzia pale!
 
Amri za mungu ukizivunja unatenda dhambi, ukivunja za shetani unapata nini?. Au siku ya mwisho ukishidwa kuingia mbinguni ukitupwa motoni kabla ujaenda kuchomeka nae shetani anaangalia kwenye kitabu chake kama ulivunja amri zaka ukiwa na dhambi kwanye kitabu cha mungu na shetani hauendi mbinguni wala motoni unabaki unaelea.

Au motoni kuna range ya moto ukuvunja amri za mungu na za shetani moto wako ni grade A (au moto devision 1)
aliko meko ndo adhabu zake shetani o!! yaani ukipitiliza za shetani ni kosa kwake utakula kichapo tu! ndo maana unaona kuna machizi wengi Africa usidhani ni bongo tu
 
Zinaweza kuwa kweli mkazipuuza lk ukashitakiwa kwazo huko mbinguni sasa sijui utasema sikujua? any way! !

Yaani Jiwe alimshinda hata shetani kwa. uuaji, kujimwambafy! aliropoka mpaka amri za kipuuzi!! ndo maana aliwaita wana DSM eti Waishi km mashetani.. mbaya zaidi akawa aenda kanisani! hata km weye ungekuwa shetani utakubali udhihakiwe ivo?

yaani mtu ni wako labda tuseme mke au house keeper!! unamtumia.... anajua siri zako baadae anaenda kukusema kwingine vibaya! ivi utajisikiaje? yaani jiwe hakujua amtumikie nani ndo shida ilipoanzia pale!
Zinaweza kuwa kweli mkazipuuza lk ukashitakiwa kwazo huko mbinguni sasa sijui utasema sikujua? any way! ! [emoji23]
 
Kwani amri kumi zilitolewa na nani kati ya hao wawili?
wote wawili wana amri kumi kumi! mmoja ana tabia ya kumuiga mwingine! sababu ana hasira, na visasi mbaya! tena wengi mmepotea! kuna utaratibu wa kupamabanua ni zipi ni kweli au si kweli! endapo malaika wa mmojawao atakupenda na kukuelekeza!

hata huyo ndugu akueleze vipi!! hutamuelewa!!....... km haumo kati ya hayo makundi mawili ni hatari zaidi!! weye ni muda wowote tu ntoleee!
 
Bahati mbaya amri za shetani zimekuja kwa kuchelewa na sio wengi wamezisoma

Hiyo ina maanisha kuna mengi mazuri kuhusu shetani yanafichwa, watu wengi wako upande wa mungu kwasababu wamesikia mengi ya upande wake

Ila shetani naye angepewa muda asikilizwe hali ingelua tofauti kabisa, pia hata hivyo muongo hutumia nguvu nyingi kujiaminisha kwa watu kua ni mkweli, ata hakikisha anaweka vizuizi vitavyofanya ushindwe kuufikia ukweli na ndio maana amekua na vitisho muda wote

Swali la kizushi

Katika amri kumi za Mungu, amesisitiza amri kuu ni upendo, na zipo verse zinazo kuamuru umpende adui yako, je unaweza kuniambia ni kiasi gani unampenda shetani?
 
Si unaona hata humu JF, yumo!! anapitapita! tunampinga kwa hoja!! tuna jadilina nae! hatujamfukuza!! yaani asinge kuwa huyu jamaa kutusababishia masaibu tusinge mjua Mungu wa kweli! na kumtafuta kwa bidii!! mpaka tukajua alaah! kwa Mungu kuna raha!
 
Nampenda shetani kwa sababu bila kumpa kichapo Yesu! ukombozi usingelikuja Duniani!
shetani bana Big up! asingekuwa shetani kumuingia Boss wangu! akaniachisha kazi kwa kunionea tu nisingekuwa leo nakula hii Bata ivi!

Asinge kuwa shetani kumuingia shangazi yangu akatuchukia, akaroga! ...... nisinge ondoka kijijini kwao! ninge kuwa Bonge la mwana kijiji!
Shetani aliwaingia ndugu zake yusufu waka muuza kwa fedheha !! so yusufu akawa Bonge la Taita ugenini Misri! na akawa komboa tena na njaa kali!
Shetani asinge muingia jiwe na akapata kiburi aka jikweza kuliko Mungu! akaua alivotaka, yamkini akawaita watakatifu wa Mungu wanaoishi JIJINI DSM kuwa ni mashetani! Samia asingekuwa Rais wa kuhutubia UN-GA....... kwanza kamwe huko asingepajua!

yote yanawezekana km una Mungu wa kweli aliye Bwana wa sabato!
 
Halafu nyongeza ni kwamba ...... jua mie Nimeumbwa kwa mfano wa Mungu aliye hai!! kabisaaa haina ubishi hiyo! sasa nakuuliza kuna kifungu gani ambacho kinasema Mungu baba yangu anamchukia shetani?
 
Kwa hiyo shetani sio adui yako?
 
Halafu nyongeza ni kwamba ...... jua mie Nimeumbwa kwa mfano wa Mungu aliye hai!! kabisaaa haina ubishi hiyo! sasa nakuuliza kuna kifungu gani ambacho kinasema Mungu baba yangu anamchukia shetani?
Una wakana wazazi wako?
 
Kumbe ndo maana mabeberu wanaonekana kana kwamba ni watu wazuri ingawaje hawamchi Mungu, kumbe ndo hizi amri wanazofuata.......mshana wewe ni noma, umezitoa chimbo gani hizi?
 
Hahahaha[emoji23]
 
Back
Top Bottom