Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
7.shika kitakatatifu..siku ya Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amri ya Saba na ya 11, kweli ni za kipepoZisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetaniView attachment 1981024
Shetani ndo muuaji mkubwa wa watoto! See my point, Kazi ya shetani ni kuua, kuchinja na kuharibu!
Ni tafsiri yako tu ndugu yangu.
viumbe wa kwanza waliomuasi mwenyezi Mungu ni huyo shetani, na maazimio yake ni kufanya wengi wawe waasi kwa Mungu kama yeye.
Yeye ndie wa kwanza kusababisha uasi kwa mtu dhidi ya Mungu, na kanuni za Mungu uasi malipio yake ni kufa, kufa kunaweza kuwa kwa kiroho ama kimwili.
Hakuna yeyote aliye juu ya uhai wa kiumbe chochote isipo kua Mungu.
Kwa namna hiyo ndio maana shetani hana historia ya kusababisha kuua isipo kua kwa idhinisho la kimungu.
Kwa hiyo shetani anabaki na sifa yake ya kua baba wa uongo.

Unaweza ukauwa ikafanikiwa lakini kufanikiwa kwako kumeenda sawa na takwa la kimungu, hivyo hivyo na kwa huyo shetani.mimi nikikuua hapa itakua ni idhinisho la kimungu!? au bomu la Nagasaki na hiroshima liliidhinishwa na mungu!? as far as i can tell ni mwanadamu!
sasa kama mimi mwanadamu naweza kuua, je shetan anashindwaje!?.
Hilo siwezi kuelezea kwa sababu kama alijua hilo lilikua ndani ya fikra zake, kama vile mimi siwezi kujua unacho waza, au baada ya kuona au kufahamu kitu fulani ndani ya fikra zako kuna mtazamo gani ndivyo nasi hatuwezi kufahamu fikra za Mungu.Mungu alijua kua shetani ataasi au hataasi!?. tuanzie hapa.
Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetaniView attachment 1981024
Wao wanafundisha ukionewa usirudishie samehe ila akiendelea kukuonea mpilizie mara kumi yake.Hii ya mwisho mkuu naona sio mchezo, ukizinguliwa na wewe jitetee hehehehe 😄
😄