Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kumbe ndiyo wametuharibia heshima yetu makolo wakubwa hawa.Aisee kumbe Hawa mbwa ndio chanzo cha nchi hii kuitwa KICHWA CHA MWENDAWAZIMU?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stephen Musa master,athman chinaKuna wapuuzi wenzenu wa Simba uwa muda wote Wana mwimba Chama.
Pale Simba viungo wajuu walikua Husen Marsha, George Lucas (Gaza), Michael Paul (nailon) Kwa uwezo walio kua nao Uyu Chama wenu wa Sasa hata Viatu vya ao watu haruhuaiwi kuvibeba achana na kukaa Bench.
Pale Yanga 1993 viungo vessel tile Issa athuman, Method Mogela , Stephen Musa. Hamis Tobias Gaga anasubiri sub Kwa Stephen Musa.
Ao jamaa Kwa uwezo walio kuanao Feisal wasasa ata Bench hakai.
Uchawi wake ulimdanganyaKuna mtu alikua Mwenye kiti wa Simba kama sijasahau jina alikua akiitwa Amir Bamchawi, Yule Mzee kabla ya mechi alikua anatangaza njia ambazo kombe litapita.
Lile jukwaa kuu lote pale shamba labibi Lili pambwa na kanga zimeandikwa Simba Taifa kubwa.
Kulikua na Kila aina ya Vituko kabla ya mchezo.
Baada ya mechi kwisha Kuna mashabiki hawakuweza kutoka uwanjani mpaka saa mbili usiku Kwa namna Walivyo duwazwa wakiwa awa amini kilicho tokea.
Kabisa aisee,nakumbuka ligi daraja la tatu ilikua na wachezaji viwango kuliko ligi kuu leoKiukweli huwa nikiangalia mpira wa sasa wa Simba na Yanga na Tanzania kwa ujumla, najaribu kufananisha na miaka ya tisini then naangalia na maslahi wanayopata wachezaji zama hizi daah ni mbingu na ardhi.
Siku hizi vijana uwezo mdogo kelele nyingi na maslahi yako juu kweli huku kipindi cha nyuma watu walikuwa 'mafundi' haswa halafu hakuna maslahi.
Mtu aliye shuhudia mpira Tz wa miaka ya 90 kurudi nyuma hawa vijana wengi wa leo ataona wanaruka ruka tuu.
Dua Saidi alikuwepo Simba, ila hakusajiliwa katika mashindano ya kimataifa, Alicheza mashindano ya ndani pekee.Hivi Dua alikuwepo!?..aliyeiponza ni mfadhili,alihonga baadhi ya wachezaji, fullback ya kulia ilikua uchochoro kusudi tu,mwameja akimlaumu 'mbona unamuacha huyo anapita tu'!?..hapo Azim dewji alijifanya anaumwa,kalazwa hospitali muda wote wa maandalizi
Naweza kukubaliana na wewe, Mimi ni Yanga asiyeamini hili atafute video ya mechi ya fainali kombe ka Cecafa Kampala, kama nakumbuka vizuri fainali ilikuwa either ni Yanga na SC Villa au ilikuwa na express maana Yanga ilizifunga hizi timu zote mbili za Uganda moja Nusu fainali na moja kwenye fainali.Hivi Dua alikuwepo!?..aliyeiponza ni mfadhili,alihonga baadhi ya wachezaji, fullback ya kulia ilikua uchochoro kusudi tu,mwameja akimlaumu 'mbona unamuacha huyo anapita tu'!?..hapo Azim dewji alijifanya anaumwa,kalazwa hospitali muda wote wa maandalizi
Yanga iliwafunga Express 3-1katika nusu fainali, ikawafunga Sports club villa 2-1Siku ya finali dk za mwisho naodha Paul Asule alivua jezi akimwomba kocha wake atoke maana alishindwa kabisa ku mdhibiti winga wa Yanga kijana, wamoto kabisa akitokea shule Edibily Jonas Lunyamila, lakini kocha wake alimkatalia na kumtaka amalizie mechi.Naweza kukubaliana na wewe, Mimi ni Yanga asiyeamini hili atafute video ya mechi ya fainali kombe ka Cecafa Kampala, kama nakumbuka vizuri fainali ilikuwa either ni Yanga na SC Villa au ilikuwa na express maana Yanga ilizifunga hizi timu zote mbili za Uganda moja Nusu fainali na moja kwenye fainali.
Baada ya refa kupuliza filimbi mpira umekwisha Yanga bingwa wa Cecafa Abbas Gulamali alikuwa uwanjani pale Nakivubo stadium alikuwa analia, hapo kumbuka Lunyamila ndio yupo kwenye ubora wake.
Na kilio hiki aliwaahidi wachezaji wakichukuwa ubingwa atawapa kila mchezaji seti ya video na television.
Hii ahadi mpaka kuja kutimizwa Gulamali aliingiza makontena kadhaa ya TV kwa msamaha wa kodi ndio akawapa wachezaji TV, nilikuwa zulikuwa ahadi tu ambazo hazikuwa za dhati.
Nakumbuka wakati ule, jina lile lilitokana na timu ya taifa, sio Simba! Hivi kweli, timu imefika FAINALI, bado utaidharau? Huu ni upunguani, kama wakati ule kudharau mashindano ya SHIRIKISHO, na kuyaita ni ya WALIOSHINDWA! Lakini leo hii timu yao ipo huko, wanayaona mashindano hayo ni bora kuliko KLABU BINGWA! Jamaa ni MABINGWA wa kubadilisha mambo, na kuaminisha kibovu kionekane ni bora kuliko kilicho bora zaidi yao!Simba ndiyo nembo ya mpira wa nchi hii kwa upande wa vilabu. Naona baada ya kutoka eda ya miaka minne ndiyo mmekua mazuzu. Kila uto akiamka, anawaza kuijadili Simba! Na nyinyi baada ya miaka dahali ndiyo mnaambulia point saba muitweje?!
Ndio gari ya namna gani hiyo?ToyotaKia
Umenikumbusha hiyo siku...Walio bahatika kumuona Yusufu Macho au Hamis Tobias Gaga kwenye ishu ku Comand mpira au kupiga mashuti basi Feisal hafiki ata nusu.
Kuna mechi ya Yanga na Sigara pale shamba la bibi, Hamisi Gaga akiwa Yanga alipiga shuti na kuchana nyavu Sasa uwa najiuliza mpaka Leo Ile ilikua nguvu ya kupiga au Nyavu zilikua zimeoza!![emoji1][emoji1].
Sawa mwana habari lakini hakuna gari inaitwa "toyota kia".Hayo ni mawazo Yako, Mimi nimekupa habari kama ilivyokuwa wakati huo.
Kia naijua vizuri sana ila toyota kia ndio siijui mpaka leo.KIA ndio ulikua usafiri maarufu Kwa hapa DSM kama daladala nikama Sasa zinavyotesa Nissan Civilian. Mnajazana Nyuma uko ata Dereva haoni. KIA zilikuja baada ya Serikali kuruhusu biashara huria kwenye usafirishaji maana Kampuni za usafirishaji za Serikali UDA zilizidiwa na wingi wa Watu.
Watu mnapanga foleni kupanda UDA kwenda kazini ambayo ni mabasi ya shirika linalo milikiwa na Serikali, Mkirudi mkapange foleni kununua sukari kwenye maduka ya ugawaji Sasa kupunguza adha hizo watu binafsi wakapewa Fursa.
View attachment 2544954
Kwa jinsi alivyotambulishwa siku ile pale ZBC2 inaonyesha alikuwepo kwenye kikosi kile. Inawezekana wanasiasa walikula njama na Azim Dewji kufanikisha njama za kufungwa. Nchi ngumu sana hii.Hivi Dua alikuwepo!?..aliyeiponza ni mfadhili,alihonga baadhi ya wachezaji, fullback ya kulia ilikua uchochoro kusudi tu,mwameja akimlaumu 'mbona unamuacha huyo anapita tu'!?..hapo Azim dewji alijifanya anaumwa,kalazwa hospitali muda wote wa maandalizi
1993 hapakua na siasa hizo,Azim alikwepa kutoa kiaKwa jinsi alivyotambulishwa siku ile pale ZBC2 inaonyesha alikuwepo kwenye kikosi kile. Inawezekana wanasiasa walikula njama na Azim Dewji kufanikisha njama za kufungwa. Nchi ngumu sana hii.
Siasa za kubaniana zimekuwepo toka nchi hii inapata uhuru, ongea na wazee watahuhadithia vimbwanga vya nchi hii. Niliwahi kusikia story ya kweli ya Sunday Manara kubaniwa kucheza mpira wa kulipwa Ufaransa.1993 hapakua na siasa hizo,Azim alikwepa kutoa kia
Ni Sunday au golikipa flan hivi wa stars,alibaniwa na marehemu benderaSiasa za kubaniana zimekuwepo toka nchi hii inapata uhuru, ongea na wazee watahuhadithia vimbwanga vya nchi hii. Niliwahi kusikia story ya kweli ya Sunday Manara kubaniwa kucheza mpira wa kulipwa Ufaransa.
Nina uhakika ni Sunday Manara "Computer". Yes, Joel Bendera alihusishwa na njama zile.Ni Sunday au golikipa flan hivi wa stars,alibaniwa na marehemu bendera