Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #81
Kulipaswa kuwe na mkataba wa kimataifa wa muungano ambao ni legally binding, but it's very unfortunately, kitu kilichopo ni zile Articles of Union, ambazo ni hati za muungano, japo zinaitwa mkataba, but in reality sio mkataba, ni just an agreement which is not legally binding kwasababu unapungukiwa na moja ya sifa muhimu za mikataba ya kisheria, inayoitwa "privity to contract" ni kila mkataba wa kisheria lazima uwe na kipengele cha privity kinacho onyesha jinsi ya kuuvunja huo mkataba. Kwenye articles of union, hakuna kipengele cha jinsi ya kuuvunja muungano, hiyo ndio dhima ya muungano ni for life!.Kwani mkataba wa Muungano wa 1964 ulikuwa legally binding au la?
Karibu pande hizi Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano? na hizi Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?! na Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!. (Ufuatiliaji Muungano Sehemu ya I)
P