mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
afisa masoko wenu ashauriwe kubadili jina.Kwanini unahisi hivyo boss?
tecno imekiwa kielelezo cha simu mbovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afisa masoko wenu ashauriwe kubadili jina.Kwanini unahisi hivyo boss?
Si shauri hivyo wqfanye gamble tu watengeneze simu moja kali kwa margini mdogo ya profit ili iwe affordable then watu wataitetea brand yao "inayowasitiri" kifua mbeleafisa masoko wenu ashauriwe kubadili jina.
tecno imekiwa kielelezo cha simu mbovu.
Mkuu hii simu Ina Bei gani madukani??Pole sana boss. msaada zaidi utaupata fika kwenye kituo cha polisi kitengo cha cyber crime kupatiwa msaada zaidi