Je, wajua kwamba kunguni wanasumbuwa Ulaya na Marekani? Kama na wewe unasumbuliwa na kunguni hii ndio sumu kiboko yao

Unadhani ya kwamba ukisema umefika ulaya na marekani ndiyo tutakuamini? Acha fikra za kutawaliwa kengemwitu wewe
 
Maji ya moto ndio dawa yao kiboko yao.

Hawa ni master wa kujificha, wanajificha mahala huwezi waona.

Juzi hapa nilikuja kushtuka sijui wametoka wapi wamejaa kitandani kwangu, nikatoa kitanda nje na kukimwagilia maji ya moto, wote waliisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…