Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.

Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate.

Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi zaidi ya Wakristo?. Waislamu wanaofuta misingi
ya dini ya Kiislamu, hujiswafi kwa maji, mara tano kwa siku kwa ajili ya kufanya swala. Hivyo hata katika yale mahitaji ya kimwili yanahitaji usafi, Waislamu wanajiswafi kwa maji wakati Wakristo wanajifuta kwa Karatasi!. Huku sio kama kujipaka?.
Kwa vile wengi bado hawajui nano science, ukijifuta kwa karatasi, kuna particles ndogo ndogo huwa hazitoki na kule mlangoni karatasi haifiki, au kwa wenzetu wa jinsia ya kike, karatasi haiwezi kusafisha kule, ni maji tuu! .

Jambo langu la leo ni kuhusu usafi binafsi wa mwili, baada ya kupunguza ule uzito, uwe ni wa chakula au wa maji, wenzetu Waislamu na nchi za Kiislamu, ni wasafi zaidi ya Wakristo kwasababu wao wanatumia maji tiririka kujiswafi, lakini Wakristo na nchi za Kikisto wanatumia karatasi laini, toilet paper, au TP kujiswafi kwa kujifuta baada ya ile shughuli, hapa nauliza kujifuta tuu ni usafi au ni kupunguza tuu kwa kujipaka?.

Hizi dini kuu zote mbili, Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba mmoja Nabii Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mzaliwa wa kwanza, Ismail, na Wakristo wa ni uzao mzaliwa wa pili, Isaka. Sheria ya Mungu kwa dini zote mbili ni sheria moja tuu , ile ile sheria ya Musa iliyoshushwa kwenye taurat kwa Kiislamu na kwenye kitabu cha Kumbukumbu la Toroti kwenye Bible

Kwenye sheria hiyo, Mungu alielekeza namna ya kujiswafi, kabla hujaenda mbele zake na kuelekeza kabisa, lazima unawe kwa maji tiririka!. Uislam na Ukristo zote zimeanzia anyone la Mashariki ya Kati, Yesu alivaa kanzu na kina Bikira Maria walivaa hijab.

Mabeberu wa kizungu, Warumi, wakavamia hekalu la kwanza la KiKristo mji wa Constantinepole, na kukomba kila kitu by looting na kwenda kujenga St Peters Basilicca pale Roma na kuanzisha Roman Catholic.

Ukristo ulipoingia, wakabadili baadhi ya mambo, ikiwemo kuintroduce kutumia karatasi laini kujiswafi baada ya ile shughuli badala ya maji kwa hoja ili mkono usishike uchafu.

Katika pita pita yangu nchi nyingi za Kiislamu, kwenye public toilets zao, kuna maji tiririka, lakini kwenye nchi za Kikristo, kuna TP!.

Sisi Tanzania kwasababu nchi yetu haina dini, public toilets zetu zina both, maji tiririka na TP.

Ukisafiri kutokea Dar kwenda Dubai, Doha, Muscat, UAE, kote huko kwenye public toilets zao, utakuta maji tiririka, na TP.

Ukienda SA, London, Paris, New York, na nchi nyingine za ulaya, kwenye public toilets zao, kuna TP only hakuna maji!. Maji unakutana nayo nje kwenye sink la kunawia mikono.

Japo TP inasafisha, kwa vile ni kavu, inasafisha kwa kupaka, huwewezi kuumaliza uchafu kwa kwa karatasi haswa kwenye ile kona ya mlango wa kutolea!.

Huwezi kulinganisha usafi wa maji tiririka ambayo yanasafisha kabisa compared to TP.

Kwa vile sheria ya usafi wa mwili imeelekezwa kidini, na ni Waislamu wanaitekeleza kama Mungu alivyoelekeza, hivyo kuna uwezekano kwenye usafi wa mwili, tukubali tukatae, Waislamu ni wasafi zaidi kuliko Wakristo, na kwa kulijua hilo na umuhimu wa usafi, wanawake wa kisasa wenye kujijali, wanatembea na wipes, na nyumba nyingi za kisasa wanatumia maji tiririka hata kama wataweka na TP.

Kwa wenzetu Waislamu, wale hata wale wenzetu wa jinsia ile, wanapokuwa kwenye zile zao, huwa hawafungi na hawaruhusiwi kwenda kuswali Masjid au Msikitini, lakini sikuwahi kusikia hili kwa Wakristu, hivyo wenzetu wale, hata wakiwa kwenye ile hali, wanatinga tuu ibadani mbele za Mungu!, hivyo inawezekana kwenye usafi binafsi, wanawake wa Kiislamu ni wasafi kuliko wanawake wa kikristo?.

Tena usikute usafi huu kwa Waislamu sio usafi tuu wa mwili, ni mpaka usafi wa moyo na roho, ndio maana wanawake wa Kiislamu wanaweza kuvumilia na kustahimili uke wenza, lakini kwa wanawake wa KiKristo, hata akisikia tuu amesaidiwa ni kesi!, na ingefanywa survey ya ni wanawake gani akiwa mama wa kambo, anatesa watoto wa mwanamke aliyemtangulia, a wicked stepmother, mngeshangazwa na matokeo!.

Kuna vitu vingi wazungu wametupotosha sisi Wakristo ikiwemo hoja ya mke mmoja, sio mpango wa Mungu, ndio maana nilimpongeza yule Blaza wangu na kumshauri "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

Nani aliwaambia wazungu na nchi za Kikristo TP tuu inatosha?.

Nimepandisha bandiko hili dunia ifuate mazuri ya wenzetu, na mimi binafsi kufuatia mimi ni mpenda kula kula vyakula locals kila ninaposafiri, Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? sasa sometimes, tumbo linachafuka ukiwa safarini, inakubidi ujiswafi kwa maji tiririka, tumbo linapokutibuka, ukakuta hakuna maji ni TP pekee ni shughuli, hivyo nimekereka sana na hili!. Hawa wazungu vipi?.

WHO wanapaswa watoe muongozo na maelekezo, public washrooms zote dunia mzima lazima ziwe na both maji tiririka na TP, ili wale wa kunawa, wawe huru wanawe na wale wa kujipaka, waendelee kujipaka!.

Paskali
Washington DC
Marekani.

Rejea za mleta mada kuhusu Waislamu na Wakristo
 
Naunga mkono hoja 100%, Mimi niingia chooni hakuna maji hata hizi airport za wenzetu na nunua maji safi ila hapa bongo nadhani sote tunatumia maji majumbani kwetu waislamu na wakristo. Umenipa ushawishi kutaka kujuwa nyumba za wakristo Tz haweki maji chooni? Mimi sina uhakika sana na hili naomba kusaidiwa. Wa Kenya wa bara kweli hawa maji hawajui lakini pwani wanatumia maji. Naomba kujuzwa tu hapa Tz nyumba za waislamu zina maji na wakristo hakuna? sitaki kuamini maana wa Tz huu ni ustaarabu wetu wa maji bila kujali dini.
 
Kwamba waislamu hawatumii tissu paper!!? Ila Mayalaaaa .....
Huyu jamaa ni attention seeker haiwezekani karne hii mtu timamu kusifia eti jamii fulani inajisafisha kwa maji jamii fulani haijisafishi ila inajipaka mavi.

Mimi nimefunzwa na mama yangu nikiwa mdogo leo nyumbani wanangu wakiwa aged four wanaanza kufundishwa namna ya kujisafisha wenyewe lakini mtu mzima anashangaa leo kama jamii fulani nayo inatumia maji,hovyo kabisa!
 
Naunga mkono hoja 100%, Mimi niingia chooni hakuna maji hata hizi airport za wenzetu na nunua maji safi ila hapa bongo nadhani sote tunatumia maji majumbani kwetu waislamu na wakristo. Umenipa ushawishi kutaka kujuwa nyumba za wakristo Tz haweki maji chooni? Mimi sina uhakika sana na hili naomba kusaidiwa. Wa Kenya wa bara kweli hawa maji hawajui lakini pwani wanatumia maji. Naomba kujuzwa tu hapa Tz nyumba za waislamu zina maji na wakristo hakuna? sitaki kuamini maana wa Tz huu ni ustaarabu wetu wa maji bila kujali dini.
mleta uzi, IQ ndogo
 
Japo TP inasafisha, kwa vile ni kavu, inasafisha kwa kupaka, huwezi kulinganisha na maji tiririka ambayo yanasafisha kabisa.wake

Kwa vile sheria ya usafi wa mwili imeelekezwa kidini, na ni Waislamu wanaitekeleza kama Mungu alivyoelekeza, hivyo kuna uwezekano kwenye usafi wa mwili, tukubali tukatae, Waislamu ni wasafi zaidi kuliko Wakristo, na kwa kulijua hilo na umuhimu wa usafi, wanawake wa kisasa wenye kujijali, wanatembea na wipes.
Albert Chalamila analizungumziaje hili
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.

Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate.

Hii ni mada ya swali Je Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, kuna uwezekano Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?.

Jambo la leo ni usafi binafsi wa mwili, baada ya kupunguza uzito, wenzetu Waislamu na nchi za Kiislamu, wanatumia maji kujiswafi, lakini Wakristo na nchi za Kikisto wanatumia karatasi laini, toilet paper, kujiswafi kwa kujifuta baada ya ile shughuli, hapa nauliza ni kujifuta au pia kujipaka?.

Hizi dini kuu zote mbili, Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba mmoja Nabii Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mzaliwa wa kwanza, Ismail, na Wakristo wa ni uzao mzaliwa wa pili, Isaka. Sheria ya Mungu wa dini zote mbili ni sheria moja ya Musa iliyoshushwa kwenye torati.

Kwenye sheria hiyo, Mungu alielekeza namna ya kujiswafi, kabla hujaenda mbele zake na kuelekeza kabisa, lazima unawe kwa maji tiririka!.

Ukristo ulipoingia, wakabadili baadhi ya mambo, ikiwemo kutumia karatasi laini kujiswafi baada ya ile shughuli. Katika pita pita yangu nchi nyingi za Kiislamu, kwenye public toilets zao, kuna maji tiririka, lakini kwenye nchi za Kikristo, kuna TP!.

Sisi Tanzania kwasababu nchi yetu haina dini, public toilets zetu zina both, maji tiririka na TP. Ukisafiri kutokea Dar kwenda Dubai, Doha, Muscat, UAE, kote huko kwenye public toilets zao, utakuta maji tiririka, na TP. Ukienda SA, London, Paris, New York, kwenye public toilets zao, kuna TP only.

Japo TP inasafisha, kwa vile ni kavu, inasafisha kwa kupaka, huwezi kulinganisha na maji tiririka ambayo yanasafisha kabisa.wake

Kwa vile sheria ya usafi wa mwili imeelekezwa kidini, na ni Waislamu wanaitekeleza kama Mungu alivyoelekeza, hivyo kuna uwezekano kwenye usafi wa mwili, tukubali tukatae, Waislamu ni wasafi zaidi kuliko Wakristo, na kwa kulijua hilo na umuhimu wa usafi, wanawake wa kisasa wenye kujijali, wanatembea na wipes.

Kwa wenzetu Waislamu, wale wenzetu wakiwa kwenye hali fulani, huwa hawafungi na hawaruhusiwi kwenda kuswali Masjid au Msikitini, lakini sikuwahi kusikia hili kwa Wakristu, hivyo wenzetu hata wakiwa kwenye ila hali, wanatinga tuu ibadani, kwenye usafi binafsi, inawezekana kabisa, wanawake wa Kiislamu ni wasafi kuliko wanawake wa kikristo!.

Tena usikute usafi huu kwa Waislamu sio usafi tuu wa mwili, ni mpaka moyo na roho, ndio maana wanawake wa Kiislamu wanaweza kuvumilia na kustahimili uke wenza, na ingefanywa survey ya ni wanawake gani akiwa mama wa kambo, anatesa watoto wa aliyemtangulia, a wicked stepmother, mngeshangazwa na matokeo.

Kuna vitu vingi wazungu wametupotosha sisi Wakristo ikiwemo hoja ya mke mmoja, sio mpango wa Mungu, ndio maana nilimpongeza yule Blaza wangu na kumshauri "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

Nani aliwaambia wazungu na nchi za Kikristo TP tuu inatosha?. Mimi ni mpenda kula kula vyakula locals kila ninaposafiri, sasa sometimes, tumbo linachafuka ukiwa safarini, inakubidi ujiswafi kwa maji tiririka, tumbo linapokutibuka, ukakuta hakuna maji ni TP pekee ni shughuli, hivyo nimekereka sana na hili!
Hawa wazungu vipi?.

WHO wanapaswa watoe muongozo na maelekezo, public washrooms zote lazima ziwe na maji tiririka na TP, ili wale wa kunawa, wawe huru wanawe na wale wa kujipaka, waendelee kujipaka!.

Paskali
Takwimu ziko wapi?? Ili tulinganishe
 
Ndio maana ushoga uko sana huko pwani maana mnaingia na kopo la maji chooni kujitekenya mqundu kwa vidole eti ndio kutawadha, halafu hiyo mikono mnatumia kusalimia watu.
Yote hii kisa Muarabu alibuni dini ya juzi sana baada ya Yesu kuondoka, akawaagiza muwe mnajitekenya humo.
Mimi huwa sisalimii kwa mikono hadi nijue dini yako.
 
Back
Top Bottom