Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakristo kwanini mnakataa ukweli?Hujasomeka, ushaamza kuvuta jani siku huz mzee wetu?
Umesoma mada?Kwamba waislamu hawatumii tissu paper!!? Ila Mayalaaaa .....
Kiukweli mimi binafsi kuanzia mama yangu na ndugu zake wote ni waislamu ila upande wa baba wote ni wakristo,Ni hivi waislamu huwa wanafundishwa kwenye madrasa zao jinsi unavyotakiwa uwe kuanzia kuvaa,kuoga,kufanya biashara,kuishi na majirani nk.... ndipo hapa waislamu wanapodai kuwa uislamu ni mfumo wa maisha, kwasababu hayo yote si kwamba ni hisia za sheikh au ostadh hapana bali yameandikwa kwenye maandiko ambayo hayabadiliki,Uislamu ni ule ule na dua ni zilezile zilizokawepo tangu enzi za Mohammad na mpaka kiama kitasimama Quran wala sunna hazitabadilika,, Ila tukija upande wa ukristo ni kwamba kwanza biblia haijaeleza wala kuwekea mkazo kivipi tuwe wakati tunafanya ibada hali ambayo imepelekea kila mtu kujitungia anachoona kinamfaa,Kwasababu hata ukisoma biblia unaona kabisa Yesu alikuwa ananawa ndipo anafanya ibada na hata hiyo biblia inaeleza kuwa wana wa Israel walipokuwa wanaukaribia ule mlima wa Mungu agizo lilikuwa linatoka kuwa wawe wasafi ndipo waukaribie ùle mlima na usafi huwa unahusisha na matumizi ya majiNaunga mkono hoja 100%, Mimi niingia chooni hakuna maji hata hizi airport za wenzetu na nunua maji safi ila hapa bongo nadhani sote tunatumia maji majumbani kwetu waislamu na wakristo. Umenipa ushawishi kutaka kujuwa nyumba za wakristo Tz haweki maji chooni? Mimi sina uhakika sana na hili naomba kusaidiwa. Wa Kenya wa bara kweli hawa maji hawajui lakini pwani wanatumia maji. Naomba kujuzwa tu hapa Tz nyumba za waislamu zina maji na wakristo hakuna? sitaki kuamini maana wa Tz huu ni ustaarabu wetu wa maji bila kujali dini.
Waislam huo usafi mnaotuzid labda wa kwenda kutawaza mkijamba,ila vingne hakuna kitu,,,npo na lijamaa hapa lmevaa kanzu saaafi(lmetoka kuswali so na uhakika ni islam swaaafi) lmechokonoa pua na kutoa pande la kamasi mgando,likalirusha pembeni na kukamatia apple kisha kulimanga.........,,,usafi n mtu binafsi nyie viumbe hai.Wakristo kwanini mnakataa ukweli?
Andiko la paskal limekupata mpaka unapaniki mkuu hahahahNdio maana ushoga uko sana huko pwani maana mnaingia na kopo la maji chooni kujitekenya mqundu kwa vidole eti ndio kutawadha, halafu hiyo mikono mnatumia kusalimia watu.
Yote hii kisa Muarabu alibuni dini ya juzi sana baada ya Yesu kuondoka, akawaagiza muwe mnajitekenya humo.
Mimi huwa sisalimii kwa mikono hadi nijue dini yako.
?????? Amepaniki hahhhaha endelea kuwapanikisha hahahahaWaislam huo usafi mnaotuzid labda wa kwenda kutawaza mkijamba,ila vingne hakuna kitu,,,npo na lijamaa hapa lmevaa kanzu saaafi(lmetoka kuswali so na uhakika ni islam swaaafi) lmechokonoa pua na kutoa pande la kamasi mgando,likalirusha pembeni na kukamatia apple kisha kulimanga.........,,,usafi n mtu binafsi nyie viumbe hai.
Sjapanik mkuu ni kwel,nmeshangaa hadi na meno alponiona kaniporomoshea bonge tusi,,, hehehehehe?????? Amepaniki hahhhaha endelea kuwapanikisha hahahaha
Wiping is Wiping my dear, wengine tunatumia magunzi na majani huku (Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate.
Hii ni mada ya swali Je Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, kuna uwezekano Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?.
Jambo la leo ni usafi binafsi wa mwili, baada ya kupunguza uzito, wenzetu Waislamu na nchi za Kiislamu, wanatumia maji kujiswafi, lakini Wakristo na nchi za Kikisto wanatumia karatasi laini, toilet paper, kujiswafi kwa kujifuta baada ya ile shughuli, hapa nauliza ni kujifuta au pia kujipaka?.
Hizi dini kuu zote mbili, Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba mmoja Nabii Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mzaliwa wa kwanza, Ismail, na Wakristo wa ni uzao mzaliwa wa pili, Isaka. Sheria ya Mungu wa dini zote mbili ni sheria moja ya Musa iliyoshushwa kwenye torati.
Kwenye sheria hiyo, Mungu alielekeza namna ya kujiswafi, kabla hujaenda mbele zake na kuelekeza kabisa, lazima unawe kwa maji tiririka!.
Ukristo ulipoingia, wakabadili baadhi ya mambo, ikiwemo kutumia karatasi laini kujiswafi baada ya ile shughuli. Katika pita pita yangu nchi nyingi za Kiislamu, kwenye public toilets zao, kuna maji tiririka, lakini kwenye nchi za Kikristo, kuna TP!.
Sisi Tanzania kwasababu nchi yetu haina dini, public toilets zetu zina both, maji tiririka na TP. Ukisafiri kutokea Dar kwenda Dubai, Doha, Muscat, UAE, kote huko kwenye public toilets zao, utakuta maji tiririka, na TP. Ukienda SA, London, Paris, New York, kwenye public toilets zao, kuna TP only hakuna bomba lolote la maji!.
Japo TP inasafisha, kwa vile ni kavu, inasafisha kwa kupaka, huwezi kulinganisha na maji tiririka ambayo yanasafisha kabisa compared to TP.
Kwa vile sheria ya usafi wa mwili imeelekezwa kidini, na ni Waislamu wanaitekeleza kama Mungu alivyoelekeza, hivyo kuna uwezekano kwenye usafi wa mwili, tukubali tukatae, Waislamu ni wasafi zaidi kuliko Wakristo, na kwa kulijua hilo na umuhimu wa usafi, wanawake wa kisasa wenye kujijali, wanatembea na wipes, na nyumba nyingi za kisasa wanatumia maji tiririka.
Kwa wenzetu Waislamu, wale hata wale wenzetu wao, wakiwa kwenye hali fulani ile, huwa hawafungi na hawaruhusiwi kwenda kuswali Masjid au Msikitini, lakini sikuwahi kusikia hili kwa Wakristu, hivyo wenzetu wale, hata wakiwa kwenye ile hali, wanatinga tuu ibadani mbele za Mungu!, hivyo inawezekana kwenye usafi binafsi, wanawake wa Kiislamu ni wasafi kuliko wanawake wa kikristo?.
Tena usikute usafi huu kwa Waislamu sio usafi tuu wa mwili, ni mpaka moyo na roho, ndio maana wanawake wa Kiislamu wanaweza kuvumilia na kustahimili uke wenza, na ingefanywa survey ya ni wanawake gani akiwa mama wa kambo, anatesa watoto wa aliyemtangulia, a wicked stepmother, mngeshangazwa na matokeo.
Kuna vitu vingi wazungu wametupotosha sisi Wakristo ikiwemo hoja ya mke mmoja, sio mpango wa Mungu, ndio maana nilimpongeza yule Blaza wangu na kumshauri "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
Nani aliwaambia wazungu na nchi za Kikristo TP tuu inatosha?.
Nimepandisha bandiko hili kufuatia mimi ni mpenda kula kula vyakula locals kila ninaposafiri, Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? sasa sometimes, tumbo linachafuka ukiwa safarini, inakubidi ujiswafi kwa maji tiririka, tumbo linapokutibuka, ukakuta hakuna maji ni TP pekee ni shughuli, hivyo nimekereka sana na hili!. Hawa wazungu vipi?.
WHO wanapaswa watoe muongozo na maelekezo, public washrooms zote lazima ziwe na maji tiririka na TP, ili wale wa kunawa, wawe huru wanawe na wale wa kujipaka, waendelee kujipaka!.
Paskali
Rejea za mleta mada kuhusu Waislamu na Wakristo
- Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo
- Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
- Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?
- Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Ukianza kuhusisha matendo, mawazo au utashi wako na mambo ya kiroho (iwe imani ya dini au za jadi) basi kila kitu hubadilika, kuanzia fikra, mate ndo, maneno na hata utashi wako. Ambaye mambo yake yanaelea hana msingi wa dini wala mila wiping is wiping heri mradi utashi wake unamwambia atoe au apunguze uchafuWanabodi,

Samahani mkuu. M.tu mzima umri wa kustaafu, unandikaje ujinga ? Mara nyingi unaandika makala ndefu zinazochosha kusoma zisizo na mantiki. Vijijini pasipo na maji wanatawazia nini. Na mjini penye maji tele wanatumiaje karatasi .Wanabodi,

Wewe utakuwa na shida kama ukijisafisha unajitekenya, hakuna kitu bora kwenye usafi zaidi ya majiNdio maana ushoga uko sana huko pwani maana mnaingia na kopo la maji chooni kujitekenya mqundu kwa vidole eti ndio kutawadha, halafu hiyo mikono mnatumia kusalimia watu.
Yote hii kisa Muarabu alibuni dini ya juzi sana baada ya Yesu kuondoka, akawaagiza muwe mnajitekenya humo.
Mimi huwa sisalimii kwa mikono hadi nijue dini yako.
ModeratorNdio maana ushoga uko sana huko pwani maana mnaingia na kopo la maji chooni kujitekenya mqundu kwa vidole eti ndio kutawadha, halafu hiyo mikono mnatumia kusalimia watu.