Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?​

P
Muhammad alikuwa anajisafisha kwa mawe hayo maji wewe umejulia wapi ?

Soma nukuu sahihi ya kitabu cha waislamu wenyewe

Muhammad mwenyewe alikuwa anachamba kwa kutumia mawe

Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
Makafir hawawezi kunielewa kamwe, kwani ukafir ni mzigo mzito wasiweza kuutua
 
Na ndio maana mikoa yenu ya Pwani kote huko ushoga umeshamiri, kujitumbukiza vidole kwenye mqundu....
Kuliko huko israel kwenye taifa teule?au huko ulaya ambapo mashoga wanafungishwa nsoa kanisani? Waulize wataalamu wa afya wakwambie kipi bora kati ya maji na karatasi kwenye kujisafisha
 
Unapotoka sana mkuu, hakuna unachosimamia kimsingi. Ndiyo maana Jiwe alisema wewe ni njaaa. Hata tunao kuheshimu unatuvua nguo. Mkuu kwanini unakuwa kama Lucas Mwashambwa
 
Sijui ni unazeeka vibaya au niaje. Waafrica, wahindi na middle east wengi hutumia maji wakienda msalani. Ndio maana wazungu wengi hua wananuka kipupu pupu na havihusiani na dini. Usafi ni tabia ya mtu binafsi.

Kama kuna mtu ameshawahi ishi na mzenji mchafu hatonishangaa. Wazenji baadhi ni wachafu sana. Unakuta msichana akienda chooni lazima aende na kopo la maji ila mgongo umeoza kwa uchafu.
 
Nyuzi za kuukashfu ukristo ni nyingi kwa sababu hawachukui hatua.
Siku moja andika waislam wanajipaka uone fatwa.
 
Poti elewa kama unazungumzia imani Mungu anaangalia usafi wa Roho siyo wa mwili; komata, sijui uko kwa moon sijui hujasugua miguu na masikio. Siku hizi unapuyanga sana, mara usafi, dini etc...hakika waliokuweka kando uteuzi hawakukosea.
 
Kwenye hii aya unadhani Mtume alitaka kuingizwa mwingizo gani kama sio mkuyenge?

"Na sema: Mola wangu Mlezi (Allah) Niingize muingizo mwema" (Qur an 17:80)
Kuingizwa na kuingiziwa ni vitu viwili tofauti.
Kaamrishwa aombe kuingizwa katika mji wa Madina na atolewe mji wa Makka.
 
Umenikumbusha zamani gani matumizi ya makalatasi na magazeti tena picha ya rais unaipaka halafu unaitumbukiza, kwa enzi hizi wote wachafuzi wa picha aina hizo wangeishia gerezani
 
Nyuzi za kuukashfu ukristo ni nyingi kwa sababu hawachukui hatua.
Siku moja andika waislam wanajipaka uone fatwa.
mimi ni Mkristo na huu sio uzi ibada za dini, ni uzi kuhusu usafi binafsi wa mtu, Waislamu kufuatia kufanya ya swala 5 kwa siku, na kabla ya ibada lazima kwanza wajiswafi kwa maji tiririka, hivyo katika nchi za Kiislamu zote kwenye public toilets kuna maji tiririka ya kujiswafi, katika nchi za Kikristo hakuna maji, kuna TP, hivyo kwa opinion yangu supported by facts, Waislamu ni wasafi zaidi ya Wakristo kwenye usafi binafsi。this is a fact na wala sijaukashifu ukristo!。
p
 
Ni kweli hayo maji tiririka yakiwa ya mchongo Kwa mlengwa TU yanaweza tuletea pressure na UTI wa mgongo ukapata shida au!!?

Au zile wipes baada ya kunawa zinaweza leta kikohozi Hadi kwenye hotuba Fulani fulani!

No kweli waislam sisi ni wasafi sana ndio maana hasta maiti huoshwa na kukamuliwa uchafu wote kabla ya kuihifadhi kwenye nyumba ya milele!!

Sasa undhani ni nani mkubwa atakamuliwa kabla ya kuihifadhiwa!!?
 
Wanajamvi wengine wanahisi umeandika content mbovu Ila mm nakuunga mkono 100% .hapo ndipo ustarabu unapoanzia lazima sisi wanadamu tujaribu kujitofautisha na wanyama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…