Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Unawafahamu/unawajua waislamu mmojammoja na wakristu mmojammoja wanavyoishi hadi uje na hitimisho hilo?Unazeeka kizembe sana Pascal.
 
Rubbish.
 
Jamaa Tangu Trump ashinde anaandika nyuzi zisizoeleweka
 
Swala la usafi kwa maji, sio la, dini sana, kuna wazaramo wakristo, kuna wakristo Lindi, pwani nk, na wanautamaduni wa kutumia maji, Mambo ya toilet paper, yamekuja baadae,
 
Kushika mavi nako ni ushenzi. tena wanashika mavi wanatoka bila kunawa na sabuni. afahali ya karatasi maana smear inabaki kwenye mkundu (mahali pake) ashukumu si matusi...
Kwenye vyoo vya stand za mabasi hakuna sabuni, wanakunya na kutoka bila sabuni. haja ndogo wanatembea na chupa za maji anakojoa na kuosha dhakari ila sabuni...ushenzi vile vile... afadhali toilet paper
 
Mbona mimi Mtanzania Mkristu lakini nimekuwa natumia maji? Au Tanzania ni nchi ya kiisilamu? Kumbe wewe umekuwa ukitumia karatasi tu?
 
Mleta mada atanangwa ila kasema ukweli, jamii zilizotawaliwa na ukristo kwenye swala la kujiswafi kuna walakini. Tz kuna afadhali sababu ukristo na uislam upo karibia 50/50 na tumeamua kuchanganya tamaduni za kiislam na kikristo.

Ukitaka ulitambue hili nenda kwa nchi kama Zambia, Malawi, Eswatini, Ghana, Zimbabwe etc ambao kwa %kubwa walitawaliwa na wazungu, utalibaini hili kwa kiwango kikubwa sana. Wale jamaa wanatembea na uchafu makalioni...truth be told.
 
Paskali sasa una matatizo.
Kule uvunguni hakupaswi kutembelewa na mikono mara kwa mara kama wafanyavyo wenzetu waumini wa Islam.
Kumbuka kuenea kwa haraka na kuua watu wengi mikoa ya waislamu wengi, ugonjwa wa kipindupindu.
Usafi siyo maji tu , kuna zaidi ya maji.
 
Huko.makalioni unafuata nini?
Na utajuaje?
That is unlessutamvua nguo zote na kumpekua.
 
Mi ni mkristo ila situmii tishu/karatasi kujisafisha chooni, natumia maji. Kuna wafanyakazi wenzangu wa dini yangu walinishangaa na kuniona ni mchafu/mshika kinyesi wakati wa kujisafisha chooni na walinionea kinyaa wakidhani nina mabaki ya kinyesi kwenye vidole vyangu vya mkono
 
Kaka goli lina kipa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…