Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 407
Uislam hupo tokea mwanzo wa Dunia kuanzia Nabii Adam (A.S) hadi Muhammad (S.A.W).Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
Jipe muda ufuatilie juu ya Msikiti wa Makkah,. na visa vingine kama vya Boti ya Nuhu (A.S)
Uislam ndiyo dini ya tokea kuumbwa ulimwengu hadi mwisho wa Dunia.