Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Ni kweli baadae Wagiriki na Wareno walionekana wako vizuri, lakini Elimu yote waliyokiwa nayo waliipata Africa, ilifikia kipindi mpaka wafalme wao ilibidi waje Africa "Egypt" ( Mfano: Mtume Jackob, Alexander the Great, Jesus nk),
kulikuwa na vitu vya kisayanzi hapo Misri ambavyo hao wazungu na Waarabu hawakuwahi kuviona kabla, Kilimo cha umwagiliaji cha kisasa, Umeme, tiba za kisasa-Operesheni, jinsi ya kuhifadhi Vyakula, kuifadhi Maiti, chariots za farasi nk

Je hao wazungu walikubali uwezo wa mtu mweusi?
Ndio waliukubali uwezo wa mtu mweusi, baada ya hao wagiriki na Wareno kuona maajabu ya hapo Misri, Ufalme wa Ureno uliamua kuoa binti mweusi awe miongoni mwa royal Family ya Kireno ya ili wapate damu ya hao watu weusi kwenye royal family zao, wakiamini uwezo wao,

hope sifa za hao black ndani ya royal family za kireno ilikuwa ya kutukuka kwa muda mrefu mpaka kipindi cha baada ya hao mapharaoh kaisi kwamba Royal Family ya German pia wakaja kuchua damu hapo kwenye royal family ya Kireno ya Margarita de Castro y Souza na mwisho kabisa England nao wakachukua damu yaa black kutoka kwenye hiyo royal family ya Kijerumani, so england walishawahi kuwa na black queen (Queen Charlotte) aliyekuwa mke wa King George III,

Hiyo Damu nyeusi kwenye royal family za Ujerumani na Uingereza ziko recent kiasi fulani, lakini kwa hao Wareno na Wagiriki zilikuwa ni za muda mrefu sana, kipindi hicho cha Mapharaoh
Great insight. Historia ya Africa bado inafichwa sana. Sababu kuu ni ubaguzi na kutoamini kuwa maendeleo ya kisayansi yalianzia Afrika.
 
1464839595248.jpg
Historia ya Yesu ni Copy and Paste ya Isis na Horus Wa misri.....
 
Lakini bible sikumbuki mwanzo ngapi inamzungumzia mtu anayeitwa Misri sijui ndo hii misri ya leo au?
 
Ok. Yawezekana ni kweli. Swali, kilienda wapi kizazi hiki chenye akili hata kuwaacha majinga ya bara ulaya kuja kutawala na kupotosha ukweli. Hawa wenye akili hivi kwa nin hawakuandika ukweli huo tuusome leo?
 
sijui hiki kizani kingekwepo hadi Leo afrika ingekuaje
 
we unashangaa Farao wakati Adamu tu mwenyewe wa kwetu pia!
 
Historia inajirudia....na sasa tunae Princess MEGHAN MARKLE.......
Ni kweli baadae Wagiriki na Wareno walionekana wako vizuri, lakini Elimu yote waliyokiwa nayo waliipata Africa, ilifikia kipindi mpaka wafalme wao ilibidi waje Africa "Egypt" ( Mfano: Mtume Jackob, Alexander the Great, Jesus nk),
kulikuwa na vitu vya kisayanzi hapo Misri ambavyo hao wazungu na Waarabu hawakuwahi kuviona kabla, Kilimo cha umwagiliaji cha kisasa, Umeme, tiba za kisasa-Operesheni, jinsi ya kuhifadhi Vyakula, kuifadhi Maiti, chariots za farasi nk

Je hao wazungu walikubali uwezo wa mtu mweusi?
Ndio waliukubali uwezo wa mtu mweusi, baada ya hao wagiriki na Wareno kuona maajabu ya hapo Misri, Ufalme wa Ureno uliamua kuoa binti mweusi awe miongoni mwa royal Family ya Kireno ya ili wapate damu ya hao watu weusi kwenye royal family zao, wakiamini uwezo wao,

hope sifa za hao black ndani ya royal family za kireno ilikuwa ya kutukuka kwa muda mrefu mpaka kipindi cha baada ya hao mapharaoh kaisi kwamba Royal Family ya German pia wakaja kuchua damu hapo kwenye royal family ya Kireno ya Margarita de Castro y Souza na mwisho kabisa England nao wakachukua damu yaa black kutoka kwenye hiyo royal family ya Kijerumani, so england walishawahi kuwa na black queen (Queen Charlotte) aliyekuwa mke wa King George III,

Hiyo Damu nyeusi kwenye royal family za Ujerumani na Uingereza ziko recent kiasi fulani, lakini kwa hao Wareno na Wagiriki zilikuwa ni za muda mrefu sana, kipindi hicho cha Mapharaoh
 
Historia inajirudia....na sasa tunae Princess MEGHAN MARKLE.......

Kweli kabisa kaka, Waingereza wengi na labda tuseme Duniani hawafahamau kuwa damu nyeusi kwenye ufalme wao sio ngeni, maana hata huyo Queen wa Sasa amechanganya Damu
 
Ok. Yawezekana ni kweli. Swali, kilienda wapi kizazi hiki chenye akili hata kuwaacha majinga ya bara ulaya kuja kutawala na kupotosha ukweli. Hawa wenye akili hivi kwa nin hawakuandika ukweli huo tuusome leo?
ni kawaida kupotea , huoni wamasai na changa zao. Jiulize kule south america
 
Back
Top Bottom