yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
dini ya kiyahudi, waliamini katika torati. ukristu ulikuja miaka ya baadae baada ya yesu mwenyewe kufa
Usipotoshe
Nini mana ya ukristo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dini ya kiyahudi, waliamini katika torati. ukristu ulikuja miaka ya baadae baada ya yesu mwenyewe kufa
Great insight. Historia ya Africa bado inafichwa sana. Sababu kuu ni ubaguzi na kutoamini kuwa maendeleo ya kisayansi yalianzia Afrika.Ni kweli baadae Wagiriki na Wareno walionekana wako vizuri, lakini Elimu yote waliyokiwa nayo waliipata Africa, ilifikia kipindi mpaka wafalme wao ilibidi waje Africa "Egypt" ( Mfano: Mtume Jackob, Alexander the Great, Jesus nk),
kulikuwa na vitu vya kisayanzi hapo Misri ambavyo hao wazungu na Waarabu hawakuwahi kuviona kabla, Kilimo cha umwagiliaji cha kisasa, Umeme, tiba za kisasa-Operesheni, jinsi ya kuhifadhi Vyakula, kuifadhi Maiti, chariots za farasi nk
Je hao wazungu walikubali uwezo wa mtu mweusi?
Ndio waliukubali uwezo wa mtu mweusi, baada ya hao wagiriki na Wareno kuona maajabu ya hapo Misri, Ufalme wa Ureno uliamua kuoa binti mweusi awe miongoni mwa royal Family ya Kireno ya ili wapate damu ya hao watu weusi kwenye royal family zao, wakiamini uwezo wao,
hope sifa za hao black ndani ya royal family za kireno ilikuwa ya kutukuka kwa muda mrefu mpaka kipindi cha baada ya hao mapharaoh kaisi kwamba Royal Family ya German pia wakaja kuchua damu hapo kwenye royal family ya Kireno ya Margarita de Castro y Souza na mwisho kabisa England nao wakachukua damu yaa black kutoka kwenye hiyo royal family ya Kijerumani, so england walishawahi kuwa na black queen (Queen Charlotte) aliyekuwa mke wa King George III,
Hiyo Damu nyeusi kwenye royal family za Ujerumani na Uingereza ziko recent kiasi fulani, lakini kwa hao Wareno na Wagiriki zilikuwa ni za muda mrefu sana, kipindi hicho cha Mapharaoh
Mshana jrNahisi Ramses III ni babu wa MziziMkavu
Pharao kwa kiswahili ni Firauni.Pharaoh kwa kiswahili ni Mfalme.
View attachment 352892 Historia ya Yesu ni Copy and Paste ya Isis na Horus Wa misri.....
View attachment 352892 Historia ya Yesu ni Copy and Paste ya Isis na Horus Wa misri.....
Ok!Tafadhali usibadili mada hapa, mada husika ni kuwa je kuliwahi kuwa na Farao wa Misri mwafrika kwa maana ya ngozi nyeusi, ok!?
sijui hiki kizani kingekwepo hadi Leo afrika ingekuajeOk. Yawezekana ni kweli. Swali, kilienda wapi kizazi hiki chenye akili hata kuwaacha majinga ya bara ulaya kuja kutawala na kupotosha ukweli. Hawa wenye akili hivi kwa nin hawakuandika ukweli huo tuusome leo?
Hi ni hatariView attachment 352892 Historia ya Yesu ni Copy and Paste ya Isis na Horus Wa misri.....
Kwani shule, Meza, hela na Dini ni maneno ya kiswahili?Si kweli..Neno FIRAUN ni kiarabu.
Na kwa kifaransa ni PHARAON..!
Ni kweli baadae Wagiriki na Wareno walionekana wako vizuri, lakini Elimu yote waliyokiwa nayo waliipata Africa, ilifikia kipindi mpaka wafalme wao ilibidi waje Africa "Egypt" ( Mfano: Mtume Jackob, Alexander the Great, Jesus nk),
kulikuwa na vitu vya kisayanzi hapo Misri ambavyo hao wazungu na Waarabu hawakuwahi kuviona kabla, Kilimo cha umwagiliaji cha kisasa, Umeme, tiba za kisasa-Operesheni, jinsi ya kuhifadhi Vyakula, kuifadhi Maiti, chariots za farasi nk
Je hao wazungu walikubali uwezo wa mtu mweusi?
Ndio waliukubali uwezo wa mtu mweusi, baada ya hao wagiriki na Wareno kuona maajabu ya hapo Misri, Ufalme wa Ureno uliamua kuoa binti mweusi awe miongoni mwa royal Family ya Kireno ya ili wapate damu ya hao watu weusi kwenye royal family zao, wakiamini uwezo wao,
hope sifa za hao black ndani ya royal family za kireno ilikuwa ya kutukuka kwa muda mrefu mpaka kipindi cha baada ya hao mapharaoh kaisi kwamba Royal Family ya German pia wakaja kuchua damu hapo kwenye royal family ya Kireno ya Margarita de Castro y Souza na mwisho kabisa England nao wakachukua damu yaa black kutoka kwenye hiyo royal family ya Kijerumani, so england walishawahi kuwa na black queen (Queen Charlotte) aliyekuwa mke wa King George III,
Hiyo Damu nyeusi kwenye royal family za Ujerumani na Uingereza ziko recent kiasi fulani, lakini kwa hao Wareno na Wagiriki zilikuwa ni za muda mrefu sana, kipindi hicho cha Mapharaoh
Historia inajirudia....na sasa tunae Princess MEGHAN MARKLE.......
ni kawaida kupotea , huoni wamasai na changa zao. Jiulize kule south americaOk. Yawezekana ni kweli. Swali, kilienda wapi kizazi hiki chenye akili hata kuwaacha majinga ya bara ulaya kuja kutawala na kupotosha ukweli. Hawa wenye akili hivi kwa nin hawakuandika ukweli huo tuusome leo?