Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
Monotheism au kumuabudu Mungu mmoja haikuanza na waarabu au wayahudi..Ilianza Misri..chini ya utawala wa mume wa Nefertiti...yaani Akhenaten..yeye alivunja sanamu zote ..akajenga mji mpya ..akauita Akhetaten ...mji uitwao Amarna na waarabu wa ukoo wa Amran..
Akhenaten aliweka alama moja tu ya jua (nyota) kama kielelezo cha muumbaji mmoja..Ni sawa na alama ya nyota kwa wa Israeli au mwezi kwa waislam.