Mla Bata,
Umemshauri Tit 4 Tat kwamba kama anataka kuboresha uwezo wake wa kusikiliza na kuelewa kupitia movie basi asitegemee subtitle. Nakubalianana na wewe lakini binafsi ningemshauri aangalie kwanza level yake ya kuelewa maneno yanayotamkwa.
Kimsingi, ingawaje anashindwa kuelewa lakini maneno mengi anayoshindwa kuyaelewa anayafahamu, na ndio maana akitumia subtitles kwake inakuwa rahisi kuielewa movie husika!
Sasa kama shida yake ndo hiyo, mosi atumie zoezi hilo not only kwa ajili ya movie bali kwa kujifunza. Na kwa kuanzia, asiachane na subtitles sababu hizi zitamsaidia kufahamu ni namna gani maneno mbalimbali hutamkwa!
Kwa mfano, anaweza kusikia neno "kanel"ambalo "l" inaishia njiani lakini asijue ni nini hicho wakati neno "colonel" analifahamu, na ambalo matamshi yake yanameza "lo" na "l" ya mwisho kuishia njiani!
Sasa ikiwa mwanzoni mwa kujifunza ataanza kutumia subtitles, atafahamu kwamba kumbe akisikia "kanel" hapa wanazungumzia "colonel"!
Akishafanya hivi kwa muda, ndipo sasa atatakiwa kuachana na subtitles hatua kwa hatua. Isitoshe, hapo atakuwa ameua ndege wawili kwa jiwe moja. Ndege wa kwanza ni improvement kwenye listening, na pia improvement kwenye matamshi.
Itoshe tu kusema kwamba, mkuu Tit 4 tat, ukitaka ku-improve hiyo listening skills, sikiliza sana mazungumzo yanayotumia Kimalikia! Tazama/Sikiliza sana tv news kila unapopata fursa ya kufanya hivyo. Angalia sana movies/series kila unapopata muda wa kufanya hivyo!
Na kama lengo ni ku-improve, basi sijapangie kabisa kwamba kwa siku unaangalia angalau episode moja. Changanya zile za Wazungu na za African Americans ambao kwa maoni yangu ndo wagumu kidogo kuwaelewa ukilinganisha na Wazungu.