Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Lakini pia "the" huwekwa ktk nomino/jina ambalo Mimi mtamkaji na wewe msikilizaji tulifahamu au tunafahamu vizuri hicho kitu au jina lililotamkwa.Hii "a" Ni pale ambapo jina au nomino sio maalum au daaah...sijui nisemeje hapa ,kufundisha nako kazi sana Yan.
True! Hii ndo maana ya specific noun. hata kwenye uandishi, kama nomino inaandikwa kwa mara ya kwanza basi hutanguliwa na A, baada ya hapo THE itaendelea kutumiwa.
Mfano, nikisema 'Let read the book", hapa msomaji au msikilizaji lazima awe anajua ni kitabu gani kinazungumziwa, kama hawakijui then utasema 'Let read a book"