Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

Mla Bata,

Umemshauri Tit 4 Tat kwamba kama anataka kuboresha uwezo wake wa kusikiliza na kuelewa kupitia movie basi asitegemee subtitle. Nakubalianana na wewe lakini binafsi ningemshauri aangalie kwanza level yake ya kuelewa maneno yanayotamkwa.

Kimsingi, ingawaje anashindwa kuelewa lakini maneno mengi anayoshindwa kuyaelewa anayafahamu, na ndio maana akitumia subtitles kwake inakuwa rahisi kuielewa movie husika!

Sasa kama shida yake ndo hiyo, mosi atumie zoezi hilo not only kwa ajili ya movie bali kwa kujifunza. Na kwa kuanzia, asiachane na subtitles sababu hizi zitamsaidia kufahamu ni namna gani maneno mbalimbali hutamkwa!

Kwa mfano, anaweza kusikia neno "kanel"ambalo "l" inaishia njiani lakini asijue ni nini hicho wakati neno "colonel" analifahamu, na ambalo matamshi yake yanameza "lo" na "l" ya mwisho kuishia njiani!

Sasa ikiwa mwanzoni mwa kujifunza ataanza kutumia subtitles, atafahamu kwamba kumbe akisikia "kanel" hapa wanazungumzia "colonel"!

Akishafanya hivi kwa muda, ndipo sasa atatakiwa kuachana na subtitles hatua kwa hatua. Isitoshe, hapo atakuwa ameua ndege wawili kwa jiwe moja. Ndege wa kwanza ni improvement kwenye listening, na pia improvement kwenye matamshi.

Itoshe tu kusema kwamba, mkuu Tit 4 tat, ukitaka ku-improve hiyo listening skills, sikiliza sana mazungumzo yanayotumia Kimalikia! Tazama/Sikiliza sana tv news kila unapopata fursa ya kufanya hivyo. Angalia sana movies/series kila unapopata muda wa kufanya hivyo!

Na kama lengo ni ku-improve, basi sijapangie kabisa kwamba kwa siku unaangalia angalau episode moja. Changanya zile za Wazungu na za African Americans ambao kwa maoni yangu ndo wagumu kidogo kuwaelewa ukilinganisha na Wazungu.
 
Hapo kwenye kiswahili umenipoteza japokuwa nimesoma bongo
 
Umezungumza vizuri kabisa comrade, i second you👊, nadhani ni kazi ya ndugu Tit 4 Tat kufuata hiki kilichoandikwa na kukifanyia kazi.
 
Muda mwingine "A" hutumika kwa kitu kimoja lakini vipo vingine vifavyofanana nacho, so unapochagua kimoja ndio utakielezea kwa kutumia "a" mfano: There are lots of cars but a blue one was parking beside my bicycle. Na "The" pia hutumika kwa kitu cha kipekee ambacho pia mara nyingi huwa ni kikubwa mfano: The sun, the moon.
Na muda mwingine pia "A" hutumika kwa kitu kimoja na "The" hutumika kwa kitu kimoja hicho hicho kulingana na uhusika kilichovaa kwa muda huo, mfano: A black cat is dirty/The black cat is older than other cats.
 
Mm nmeangalia the flash season kama tatu kwa kuwackiliza tu angalau wanaeleweka but now kichwa kimechoka kupause na kurudia nn walchosema nmedownload app ya MX PLAYER nachek na subtitle but najitahd kuckiliza pia ili ni improve
 
Niliingia kwa mbwembe humu nikiamini napata darasa..... mmmh hapana naona kuna hitilafu hapa
 
Nisingekanyaga kurudia kule tulikotoka hope unakumbuka mkuu

Kwangu hakukuwa kwa ajabu, na hainizuii kukwambia kitu ambacho naona hakiko sahihi.

Kujificha nyuma ya keyboard kusiwe chanzo cha sisi kuwa warriors.
 

Matumizi sahihi ya 'a' na 'the' ni kama ifuatavyo:-

the = definite article (specific noun)

a/an = indefinite article (non-specific noun)

For example, if I say, "Let's read the book," I mean a specific book. If I say, "Let's read a book," I mean any book rather than a specific book.

"A/an" is used to refer to a non-specific or non-particular member of the group. For example, "I would like to go see a movie." Here, we're not talking about a specific movie. We're talking about any movie. There are many movies, and I want to see any movie. I don't have a specific one in mind.

Hope imeongeza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…