Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?


True! Hii ndo maana ya specific noun. hata kwenye uandishi, kama nomino inaandikwa kwa mara ya kwanza basi hutanguliwa na A, baada ya hapo THE itaendelea kutumiwa.

Mfano, nikisema 'Let read the book", hapa msomaji au msikilizaji lazima awe anajua ni kitabu gani kinazungumziwa, kama hawakijui then utasema 'Let read a book"
 
Kwangu hakukuwa kwa ajabu, na hainizuii kukwambia kitu ambacho naona hakiko sahihi.

Kujificha nyuma ya keyboard kusiwe chanzo cha sisi kuwa warriors.
Mkuu am not a keyboard warrior am a layaman of low profile nakaa kimya mkuu uwe mshindi wewe Ila naomba nisikuiritate.
 
Mkuu am not a keyboard warrior am a layaman of low profile nakaa kimya mkuu uwe mshindi wewe Ila naomba nisikuiritate.

Aisee!

Kwamba ukikosolewa ni unashindana?

Nikwambie tu, ukiona mtu anakukosoa kitu, ujue anatambua thamani yako. Otherwise ningeignore na kuacha issue iendelee.

Anyway, if you think it's personal, am taking the ignore route.
 
"A boy" (not earlier mentioned to the reader of the text and is not familiar to that reader), "The boy" (the earlier mentioned boy from the text who is familiar by the reader of that text).
 
Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni:..
water is not a countable noun. "This is a water" (incorrect);
 
Shukrani mkuu kwa msaada wako
 
ulitumia njia gan mkuu? naipenda sn hii lugha, niliishia kujua kusalimia tu..."hola como Γ©stΓ‘s” β€œmuy bien"
Inabidi uwe na msingi. Labda uwe umeshasoma hii lugha darasani. Kwa hiyo ukikwenda kwa hizo forums unaelewa kidogo inakuwa rahisi kujiendeleza.
 
Sawa kabisa, si kila nomino inatumika "a" au "the". This is water, this is Mount Kilimanjaro, this is land, this is air, nk.; ndiyo sahihi. Huwezi kusema "this is the Mount Kilimanjaro" au "a Mount Kilimanjaro!"
 
Sawa kabisa, si kila nomino inatumika "a" au "the". This is water, this is Mount Kilimanjaro, this is land, this is air, nk.; ndiyo sahihi. Huwezi kusema "this is the Mount Kilimanjaro" au "a Mount Kilimanjaro!"
This is a water!! Hii mbona mi naona kama imekaa ki local sana!! Wahuni tunamaliza hivi tu this is water..[emoji28]
 
Sawa kabisa, si kila nomino inatumika "a" au "the". This is water, this is Mount Kilimanjaro, this is land, this is air, nk.; ndiyo sahihi. Huwezi kusema "this is the Mount Kilimanjaro" au "a Mount Kilimanjaro!"
Mkuu huyu mtoa mada ni yale maboya yanayoelea tu! Kuna watu wanavunga wanafuata sheria za lugha mpk unaona kabisa upuuzi wao!.. lugha kwangu mimi haswa hizi za kigeni sijilaumu hata nikikosea hiyo mi grama sijui mi nachoangalia nimeeleweka!..

Na lugha pia ni aina ya intelligence ambayo si lazima mpk ujue visheria fulani sijui!.. sometimes ukisoma vitu vyengine unafahamu kabisa hii matango poli..πŸ˜‚

Kuna mwengine huku aliniandikia "I seen it" japo siijui hii lugha sheria zake lkn nilipata walakini! Ye hapo anakwambia anafuata sheria za lugha!.. nikaona niwe mpole kwa wenye sheria zao bhana ila nilikubali kishingo upande tu..πŸ˜…

Wengine lugha kusema kweli zinatuchanganya.. tumewaachia wenye lugha zao..
 
Umenena ukweli mtupu, tuna wachafuzi wa lugha wengi mno!
Mkuu huyu mtoa mada ni yale maboya yanayoelea tu!
Kuna watu wanavunga wanafuata sheria za lugha mpk unaona kabisa upuuzi wao!.. lugha kwangu mimi haswa hizi za kigeni sijilaumu hata nikikosea hiyo mi grama sijui mi nachoangalia nimeeleweka!...
 
Poa japo nahitaji niwe nauwezo wa kuelewa bila subtitles, kuna movie zingine ni kali balaaah ila hazina subtitles kwa hiyo nakosa mautamu
Nilifundishwa na wazungu kadhaa mojawapo niliyempenda alikuwa mrs Rojas- Mdada wa ki- British alinimegea siri moja hivi '' soma Lips, ulimi wa wahusika wanavo tamka maneno tizame usoni mwao, haijalishi ni m-Vandame wala M-canada utashangaaa unavo wajua kuliko ulivo dhani, kabla hawajatamka wewe umeshajua wanachosema.
 
Mkuu Jua tu sheria ya Lugha, unakuwa na confidence ili hata mara ukoseapo ujue wapi umekosea! na ulitaka iweje! hata ukisahihishwa uielezee kwa ufasaha! mpaka mkosoaji ajione mjinga!

Kukosea ni kosa tu, lipo ktk kila field, hata kwa Lugha zetu vijijini huko! tunakosea sana. neno ''I seen it'' sometimes ''I've seen it'' I have seen it'' katika matamshi ni tofauti sana, kwa mtu mwenye uzoefu wa Lugha na yule wa kujifunza Lugha husika. hapa mfano ile auxiliary verb unaweza usiisikie barabara, ktk neno hili hasa kwa fluent British speakers, tofauti na Australian speakers. au Nigerian english,

Kwa Lugha zote kuna watu katika kuongea wana donoa maneno, wengine wanaongea km cherehani! mfano Mkurya, Msukuma, Mchaga anadonoa donoa maneno ya Kiswahili but Mzaramo, Mkwere kwa kiswahili ni faster na cha madoido, utakaa chini nakwambia, huwatoi, utalia poo! mara ya kwanza kuingia Dar nilikuwa siwaelewi kabisa! lkn sasa mpeleke kwa Swahili fasaha- umwambie nitajie ngeri sijui vitenzi, nomino ktk matamshi yako maweee! ataona unamtukana.

hivohivo kwa Native speaker km Niga hawajui Eng.grammar
 
Tatizo la waalimu wa UPE wanasumbua sana vijijini huko! nakwambia huyu angekuwa hapa mjini watoto wangemtoa jasho la makalio, asingerudi darsani kufundisha. basi anatamba mwenyewe huko kuwa anajua kiinglish.
 
Mkuu Jua tu sheria ya Lugha, unakuwa na confidence ili hata mara ukoseapo ujue wapi umekosea! na ulitaka iweje! hata ukisahihishwa uielezee kwa ufasaha! mpaka mkosoaji ajione mjinga!..
Mtu kubase kwenye kitu fulani it's kind of intelligence mkuu mi ninauwezo wa kuelezea kitu kwa lugha fulani na nikaeleweka vizuri kabisa.. nnachozingatia mimi ni kueleweka hizo sheria nyengine zishanishinda... Nishauilazimisha kusoma kiingeleza kwa kufuata hayo sijui ma grammar kukanishinda..

Uzuri nikishika kitabu Cha kiingeleza naelewa japo kuna misamiati inaweza nipiga chenga Hilo si tatizo sana .. kila mtu ashike anapopaweza mkuu.. mbinu yangu kubwa ktk lugha nnayoona mimi ukishapata abc ktk lugha husika jichanganye na wenye lugha huko utaupata ujuzi hizo grammar zitakuja tu automatic kama zilivyokuja kwenye lugha yako uliyozaliwa nayo..

Mfano lugha yako mama kufundishwa kuhusu mpangilio wa sentensi unakuja kufundishwa tayari ukiwa unajua namna ya kupangilia sentesi.. mfano hata mtoto anaejua lugha tayari ukijichanganya kwenye sentensi anaweza kujua umekosea na hata hajafundishwa mpangilio wa sentensi ama ma grammar n.k

Kila mtu ashike anachokiweza mkuu.. binafsi nikishajua kidogo tu basi najichanganya kwa wenye lugha husika Mambo yatajiseti automatic Wala sio huku unaongea huku unafikiria sheria za grammar Mara sijui nini..πŸ˜…
Siwezi asee
 
Bado reciprocal pronoun, adverbs, object pronouns, reflexive pronoun auxiliary modal verb, intransitive verbs nk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…