Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

Hata mm ndio nilikuwa najua hivyo.
Yaani kitu kinapotajwa kwa mara ya pili tunatumia The,lkn kinapotajwa kwa mara ya kwanza tunatumia a.
Sasa huyu mtoa mada ndio kanivuruga kabisa na somo lake la leo
 
Kiufupi hiyo ni changamoto kwa watanzania asilimia 90 awe msomi au asiwe msomi. Na sio kwamba ni wazembe ila ni mazingira tuliyokulia.
Imagine mtu amesoma kuanzia chekechea hadi chuo kikuu hajawahi kukutana na mzungu kuongea naye live sasa atajulia wapi yale mambo.

Kila nchi ina lafudhi yake kwenye kuongea,sasa ili uizoee na kuielewa lafudhi ya nchi husika ni mpaka ukae nao hao raia wa nchi husika ndio unawazoea na kuwaelewa wakizungumza.
 
You are very correct
 
Lakini pia, 'THE' hutumika unapotaja milima, Mungu, Bahari, maziwa, mwezi, jua

mfano
The sun.......
The ocean........
The lake.......
The wind.......
The sun.......
 
'A' hutumika kwa kitu ulichokitaja kwenye sentensi kwa mala ya kwanza,,lakini kitu ichoicho ukikitaja tena kwa Mala ya pili kwenye sentensi yako itakupasa utumie 'The'
 
'A' hutumika kwa kitu ulichokitaja kwenye sentensi kwa mala ya kwanza,,lakini kitu ichoicho ukikitaja tena kwa Mala ya pili kwenye sentensi yako itakupasa utumie 'The'
Mfano [emoji41][emoji41]
 
But can be counted in case of glass, bottle, bucket. "Give me a bottle of water"
correct, "a bottle...". You can tell the number of bottles.....not water.
 
Mfano [emoji41][emoji41]
"A" is normally used for the things mentioned for the first time,,BUT.
"The" is used for things mentioned more than one time,FOR EXAMPLE a book,but if U mention book for the second time U must say the book,,but also THE is used for the things which are well known,,U can't say A sun instead U must say THE sun because sun is well known.
 
THE is used for the things which are well known,,U can't say A sun instead U must say THE sun because sun is well known.
1. Hapo huwa tunasema vitu vya kipekee, mfano jua ni moja hakuna jingine, mwezi ni mmoja na hakuna mwingine na
2. Vile vile hutumika kwa ajili ya kutaja kitu specific kati ya vingi " there are lots of car out there but the red one is the most beautifully"
 
This is a water!! Hii mbona mi naona kama imekaa ki local sana!! Wahuni tunamaliza hivi tu this is water..😅
... ha ha ha! Jamaa kachapia; sio kila nomino isiyo na umbo maamlumu hulazimika kutambulishwa kwa "a" lakini pia "a" si kwa ajili ya nomino isiyo na umbo maalumu tu!
 
Sana mkuu
 
yes, a bottle without water
Lets forget everything once we all learn from different teachers [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kuna mwalim wangu mmoja ivi alinifundisha jinsi ya kutumia izi articles kuna A na the akanambia A unatumia kwa kitu ambacho bado hujakifaham the kwa kitu unachokifaham mf. A man kama uyo mtu ni first time kumuona na the man hapo ushamfaham ila naon kama the man hainogi inanoga kutumia a man mi ntakavyojisikia utamu kwenye ulimi wa kutamka neno naendanalo iv iv ani ilimradi tu linanoga mdomoni kwenye kutamka
 
Poa japo nahitaji niwe nauwezo wa kuelewa bila subtitles, kuna movie zingine ni kali balaaah ila hazina subtitles kwa hiyo nakosa mautamu
Kuwa makini tu baada ya muda utaanza kusikia wanachoongea simple as that......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…