[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo titi?Kolo mwenzako...tofauti ni kuwa yeye ni graduate wa SAUT ......na ni bingwa wa matu****[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba reference ya club bingwa?????Hii ni dharau
Sijui kwnn yanga hawakutafuta ka timu kadg .....tucheze nako Leo tungepiga hata 5....0[emoji23][emoji23][emoji23]
Baki hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mood less [emoji125][emoji125]
Uzi wenu wa yanga, mmeususa uwiiiiiiih.Lala ...ww ucku now.
Hili nalo ni bom mkuuKama hawa ndio aina ya graduates tunaowatengeneza, taifa lina kazi kubwa sana.
Our graduates are half-backed.
Ubao hausomeki....ila hii Ni friend match....so we don't need to use more efforts.....ok...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba reference ya club bingwa?????
Huo muda hana kwa takataka za leo pamoja na aziza funguomkuu....kwani we unadhani kocha wetu Zoran amekosea kuomba video za mayele?
Upo UDSM unasoma coarse gani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana weee, Mzumbe ningekuja kusoma faculty gan? Labda nikukaribishe wee ungekuja UDSM.
Sijawahi kufanyiwa pepa au assignment na mtu yeyote, sijawahi kutumia kibomu ktk pepa kwa level zote za Elimu nilizopita.
Kwa kifupi mie sio Kilazaaa.
Huko Yanga wanatakiwa watu km wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
AhahahahhaHiz ni Leo hujumaaa wananchi tumeaibishwa.....acha nilale mapemaaa
Acha kujigamba kuwa umesomea UDSM ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana weee, Mzumbe ningekuja kusoma faculty gan? Labda nikukaribishe wee ungekuja UDSM.
Sijawahi kufanyiwa pepa au assignment na mtu yeyote, sijawahi kutumia kibomu ktk pepa kwa level zote za Elimu nilizopita.
Kwa kifupi mie sio Kilazaaa.
Huko Yanga wanatakiwa watu km wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] seriously???? UwiiiihUbao hausomeki....ila hii Ni friend match....so we don't need to use more efforts.....ok...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio la msingi sana hapa, tujadili soka.Upo UDSM unasoma coarse gani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.Acha kujigamba kuwa umesomea UDSM ww
Umeyaona matokeo yake si ndiyo haya endelea kulinganisha ,ila jumatatu urudie hii kauli yakoHabari ndugu Wana JF,
Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi la ufundi.
...............
Vyanzo Kutoka kwa makolo
Kocha wa makolo Zoran ameomba atumiwe video zote za mshambuliaji mkali (aliyechangia kocha Pablo) kutimuliwa pale ukoloni, namzungumzia Fiston Mayele ili aandae topic kwaajili ya kuwafua wachezaji wake.
My take
Imagine Zoran anataka kuandaa lecture itakayoitwa "how to handle Fiston Mayele"
Je, unazani Mayele Ni mchezaji wa kawaida? Binafsi naona Mayele = kikosi cha Simba + babra + mwamedi + bench la ufundi la kolo
Au nyie wapwa mmnasemaje[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2313557