Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo titi?
Hii ni dharau

Sijui kwnn yanga hawakutafuta ka timu kadg .....tucheze nako Leo tungepiga hata 5....0[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba reference ya club bingwa?????
Ubao hausomeki....ila hii Ni friend match....so we don't need to use more efforts.....ok...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana weee, Mzumbe ningekuja kusoma faculty gan? Labda nikukaribishe wee ungekuja UDSM.

Sijawahi kufanyiwa pepa au assignment na mtu yeyote, sijawahi kutumia kibomu ktk pepa kwa level zote za Elimu nilizopita.
Kwa kifupi mie sio Kilazaaa.

Huko Yanga wanatakiwa watu km wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
Upo UDSM unasoma coarse gani??
 
Acha kujigamba kuwa umesomea UDSM ww
 
Habari ndugu Wana JF,

Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi la ufundi.

...............

Vyanzo Kutoka kwa makolo

Kocha wa makolo Zoran ameomba atumiwe video zote za mshambuliaji mkali (aliyechangia kocha Pablo) kutimuliwa pale ukoloni, namzungumzia Fiston Mayele ili aandae topic kwaajili ya kuwafua wachezaji wake.

My take
Imagine Zoran anataka kuandaa lecture itakayoitwa "how to handle Fiston Mayele"

Je, unazani Mayele Ni mchezaji wa kawaida? Binafsi naona Mayele = kikosi cha Simba + babra + mwamedi + bench la ufundi la kolo
Au nyie wapwa mmnasemaje[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2313557
Umeyaona matokeo yake si ndiyo haya endelea kulinganisha ,ila jumatatu urudie hii kauli yako
 
Back
Top Bottom