Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Umeyaona matokeo yake si ndiyo haya endelea kulinganisha ,ila jumatatu urudie hii kauli yako
Kocha kazingua mkuu....... Mayele unaachaje anaingia kipnd cha pili...... it's a big mistake!!!!!!
 
Back
Top Bottom