Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
Kijana wa leo akisikia mieleka anaweza kudhani ni mchezo unaochezwa tu huko marekani na akina John Cena, The Undertaker, CM Punk n.k.

Nipo hapa kukujuza kuwa huo mchezo ulikuwa moja ya michezo maarufu hapa nchini miaka ya nyuma (hadi kufikia miaka ya tisini hivi). Mchezo ulichezwa kwenye viwanja hivihivi ambavyo leo vinatumiwa kucheza mpira wa miguu. Watu wakiingia biwanjani kwa kulipa viingilio km ilivyo leo hii unavyoenda uwanja wa mpira kutazama mchezo wa mpira wa miguu, basketball, ngumi n.k.

Wachezaji wake walijulikana kwa jina la "PAWA" kwa kiswahili likimaanisha mtu mwenye "NGUVU" ambayo kiingereza chake ni "POWER". Hawa wachezaji walikuwa na miili mikubwa iliyojengwa na misuli 'muscles' (na sio ule unene wa nyama uzembe). Mchezo wenyewe uliitwa mieleka na ukihusisha wachezaji husika kupimana mbavu kwa kusukumana hadi pale mmoja alipozidiwa nguvu na mwenzake. Power walicheza michezo mingine iliyohusisha matumizi makubwa ya nguvu km kuvuta na kuzuia magari, pikipiki n.k.

Kwa baadhi ya nchi hasa za Afrika hasa Afrika Magharibi bado mchezo huu unachezwa km sehemu ya michezo ya jadi.

Baadhi ya power maarufu wa kipindi hicho walikuwa ni power mabula huyu alikuwa msukuma, power bukuku "mwalafyale" huyu alitokea mkoa wa mbeya, power suzuki huyu alitokea songea ruvuma. Yule power iranda ambaye kwa sasa anamkochi bondia kiduku wa morogoro alikuwa mmojawapo wa hao power ndomaana hadi leo amebakia na hilo jina la power.

Mchezo huo ulififia taratibu na hatimaye kupotea kabisa machoni mwa watanzania katikati ya miaka ya tisini. Uwepo wa baadhi ya wadau kama huyo Power iranda na wengineo unaweza kutumiwa kuurejesha mchezo huo nchini ili nao ukachangia ajira kwa vijana wa leo.

Wakale una kumbuka nini kuhusu mchezo wa mieleka?

Unawakumbuka Power yupi wa kipindi hicho?

Chao!
 
Asante kwa taarifa
 
Power iranda alivuma Sana,power mabula,Kuna Gogo Bichi (RIP) Ila mieleka mkuu bado ipo pale jeshini Lugalo watu wanapigana mieleka na timu ya taifa ipo..kama WWE au SmackDown
Miereka inachezwa sana Pemba kaskazini kipindi cha Ramadhani... Sijui wameacha au bado wanaendelea? Ila ni hatari sana wanavunjana mpaka mikono.
 
Kulikua kuna kina Makwasukwasu.
 
Kule kwetu kulikuwa na pawa Malungusi
 
Power iranda alivuma Sana,power mabula,Kuna Gogo Bichi (RIP) Ila mieleka mkuu bado ipo pale jeshini Lugalo watu wanapigana mieleka na timu ya taifa ipo..kama WWE au SmackDown
Ni habari nzuri km jeshi bado linaendeleza mchezo huo ila waulete mitaani basi uchangamshe ajira kwa vijana. hiyo timu ya taifa ni wajeshi tu au?
 
Miereka inachezwa sana Pemba kaskazini kipindi cha Ramadhani... Sijui wameacha au bado wanaendelea? Ila ni hatari sana wanavunjana mpaka mikono.
ni mchezo wa kutumia nguvu lazima uwe vizuri vinginevo lazima ile kwako
 
Kuna pro wrestling kama ile ya WWE, TNA, AEW n.k ambayo wanacheza lakini kwa kufanya acting...

Na kuna amateur wrestling ambayo inachezwa si kwa kupigana bali kwa kukandamizana au kubanana kwa tekniki tofauti tofauti ili kumlazimisha mpinzani wako asalimu amri, hii bado inachezwa jeshini na hata kwenye mashindano kama olimpiki...
 
Kijana wa leo akisikia mieleka anaweza kudhani ni mchezo unaochezwa tu huko marekani na akina John Cena, The Undertaker, CM Punk n.k.

Nipo hapa kukujuza kuwa huo mchezo ulikuwa moja ya michezo maarufu hapa nchini miaka ya nyuma (hadi kufikia miaka ya tisini hivi). Mchezo ulichezwa kwenye viwanja hivihivi ambavyo leo vinatumiwa kucheza mpira wa miguu. Watu wakiingia biwanjani kwa kulipa viingilio km ilivyo leo hii unavyoenda uwanja wa mpira kutazama mchezo wa mpira wa miguu, basketball, ngumi n.k.

Wachezaji wake walijulikana kwa jina la "PAWA" kwa kiswahili likimaanisha mtu mwenye "NGUVU" ambayo kiingereza chake ni "POWER". Hawa wachezaji walikuwa na miili mikubwa iliyojengwa na misuli 'muscles' (na sio ule unene wa nyama uzembe). Mchezo wenyewe uliitwa mieleka na ukihusisha wachezaji husika kupimana mbavu kwa kusukumana hadi pale mmoja alipozidiwa nguvu na mwenzake. Power walicheza michezo mingine iliyohusisha matumizi makubwa ya nguvu km kuvuta na kuzuia magari, pikipiki n.k.

Kwa baadhi ya nchi hasa za Afrika hasa Afrika Magharibi bado mchezo huu unachezwa km sehemu ya michezo ya jadi.

Baadhi ya power maarufu wa kipindi hicho walikuwa ni power mabula huyu alikuwa msukuma, power bukuku "mwalafyale" huyu alitokea mkoa wa mbeya, power suzuki huyu alitokea songea ruvuma. Yule power iranda ambaye kwa sasa anamkochi bondia kiduku wa morogoro alikuwa mmojawapo wa hao power ndomaana hadi leo amebakia na hilo jina la power.

Mchezo huo ulififia taratibu na hatimaye kupotea kabisa machoni mwa watanzania katikati ya miaka ya tisini. Uwepo wa baadhi ya wadau kama huyo Power iranda na wengineo unaweza kutumiwa kuurejesha mchezo huo nchini ili nao ukachangia ajira kwa vijana wa leo.

Wakale una kumbuka nini kuhusu mchezo wa mieleka?

Unawakumbuka Power yupi wa kipindi hicho?

Chao!
Mie nakumbuka TX chaka, huyu mweu alikua anakunywa Chai kisado kimoja, jkt mgulani
 
Back
Top Bottom