Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

Babalao mwenyewe alikuwa Power Mabula.

Power Mabula alikuwa anavuta gari kwa meno 🤣🤣🤣
 
Mbona mieleka bado ipo naona watu wanacheza sana navy beach kule
 
Mieleka bafo ipo, nimetoka kusechi youtube nawaona wakurya wa Tarime wanapenda huu mchezo


Your browser is not able to display this video.
 
Mara ya mwisho nakumbuka niliangalia pambano kati ya Sangandele na Sumu ya mamba, Pamoja na kufanyiwa sana promo mpambano haukuwa na mvuto kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…