Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

Lazima tujue kipi tule na kipi tusile, mti upi upandwe nyumbani na upi usipandwe.
Lazima tujue ni Kwa nini kuna miti ya porini na miti ya nyumbani?[emoji818][emoji1752]
 
We jamaa umetema madini ya thamani sana aisee.
Nimekuwa sehemu fulani kwa wenzetu huko walikoendelea sasa mwenyeji wangu alinunua nyumba sehemu, ile nyumba kwa mbele kulikuwa na mti umeiziba kidogo nyumba jamaa alichofanya ni kuuhamisha ule mti na kuupanda sehemu nyingine pale pale nyumbani kwake kisha akaupurua matawi na kuuacha ustawi upya.

Nilimwambia ingekuwa kwetu huu mti ningeukata nipate mbao za kujengea.

Jamaa alinijibu kwa masikitiko makubwa sana akasema β€œunajua nini, suluhisho la jambo lolote lile limebebwa na asili yake na asili ni muhimu kuliko nyumba pia siri za maisha zipo kwenye asili ya maisha yenyewe yaani maji, miti, hewa na moto”.

Na kweli karibu nyumba zote nilizoziona kule zilikuwa zimezungukwa na miti/maua, ndani kuna fire place na back yard kuna swimming pool.
 
Mkuu barikiwa Sana Mkuu
 
Lazima tujue kipi tule na kipi tusile, mti upi upandwe nyumbani na upi usipandwe.
Lazima tujue ni Kwa nini kuna miti ya porini na miti ya nyumbani?[emoji818][emoji1752]

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Shukrani Kaka Mkubwa
 
Ata unapofanya spiritual meditation [emoji3286] kwenye miti au msituni ina fanya kaz haraka mno
 
Nimekupa, so unatushauri tuhamie msituni kwenye miti mingi au tuandikie aina ya miti na uwezo wake [emoji3578]
 
hii nimeielewa sanaa na nakwenda kuifanyia kazi, imenikumbusha vitu vingi saana imenifungua nimeanza kuona maeneo yaliyopandwa miti na aina ya maisha walionayo.. kuanzia aina ya miti na maisha yao, Barikiwa sana..
 
hii nimeielewa sanaa na nakwenda kuifanyia kazi, imenikumbusha vitu vingi saana imenifungua nimeanza kuona maeneo yaliyopandwa miti na aina ya maisha walionayo.. kuanzia aina ya miti na maisha yao, Barikiwa sana..

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Barikiwa Sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…