Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

Asaante kwa makala nzuri...kama mwanaharakati wa uhifadhi wa mazingira andiko hili limenibariki sana.... Kama utaweza kufanya tafiti ukaja na majina ya hizo aina za miti na kutuwekea hapa utakuwa umefanya jambo kubwa kusaidia jamii yetu ipone...masna hali si shwari nafsi nyingi zinataabika zinahitaji uponyaji.
 
Back
Top Bottom