Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 304
- 238
Njombe ,wakinga ni matajiri na wanajua biashara lakini hawana shobo kama wale jamaa wenye miguu miembamba wachaga
Njombe ,wakinga ni matajiri na wanajua biashara lakini hawana shobo kama wale jamaa wenye miguu miembamba wachaga
Kutokana na utafiti uliofanywa na NBS (National Bureau of Statistics) HBS 2017/18, Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini (1,184,188 + 321,978 = 1,506,166) sawa na asilimia 42.6 ikifuatiwa na Kigoma huku Njombe ikiongoza kwa idadi ndogo zaidi.
Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Mwanza unakadiriwa na watu 3,532,378.
Kwa ujumla wake, Tanzania bara inakadiriwa kuwa na jumla ya watu maskini 18,644,512.
View attachment 1250540
TAFAKARI !!
Sasa njombe wakinga hela zao kwa asilimia kubwa niza masharti ndo maana unawaona wengi wao wana hela ila wanaishi kama misukuleNjombe ,wakinga ni matajiri na wanajua biashara lakini hawana shobo kama wale jamaa wenye miguu miembamba wachaga
Wa stendi umeanza mada zako ngum ngum wakija wenyewe usiombe msaadaSasa njombe wakinga hela zao kwa asilimia kubwa niza masharti ndo maana unawaona wengi wao wana hela ila wanaishi kama misukule
Kagera, Njombe, Mbeya na Kagera kuwa na umasiki wa chakula ni jambo la aibu sana Tanzania. Hivi sisi tunakosea wapi ???Kutokana na utafiti uliofanywa na NBS (National Bureau of Statistics) HBS 2017/18, Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini (1,184,188 + 321,978 = 1,506,166) sawa na asilimia 42.6 ikifuatiwa na Kigoma huku Njombe ikiongoza kwa idadi ndogo zaidi.
Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Mwanza unakadiriwa na watu 3,532,378.
Kwa ujumla wake, Tanzania bara inakadiriwa kuwa na jumla ya watu maskini 18,644,512.
View attachment 1250540
TAFAKARI !!
Hakuna jambo la ajabu kama kuona masikini wanachekana umasikini wao. Unakuta Mchagga, Mhaya na Mnyakyusa anamcheka mtu wa pwani kwa umasikini na kukosa elimu lakini ukiangalia uhalisia unakuta hata wao wenyewe hawajafika kiwango cha maisha bora ambayo binadamu wa kawaida anatakiwa kufikia.Njombe ,wakinga ni matajiri na wanajua biashara lakini hawana shobo kama wale jamaa wenye miguu miembamba wachaga
KwendraaaNjombe ,wakinga ni matajiri na wanajua biashara lakini hawana shobo kama wale jamaa wenye miguu miembamba wachaga
Tatizo la wakinga ni kuendeleza "sayansi asilia"
Usisahau DodomaMikoa ya kanda ya ziwa kuna umaskini wa kutupwa na ndipo CCM inapojivunia kupata kura nyingi
Utajiri wa miaka flani nao ni utajiri? utajiri wa masharti!Njombe ,wakinga ni matajiri na wanajua biashara lakini hawana shobo kama wale jamaa wenye miguu miembamba wachaga
siku hizi haio mkuu, tumeacha!
Hebu nieleweshe, Mwanza kwa nini ina masikini wengi hivyo wakati ni jiji kubwa tuNatabiri vita humu jf ya Dsm vs Mwz vs Arusha itaanza soon baada ya takwimu hizi