Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 304
- 238
- Thread starter
- #41
Mkoa Kagera kwa sasa una hali mbaya ya kiuchumi kwa sababu kuu mbili. 1. Kuanguka kwa bei ya kahawa, zao kuu la biashara mkoani Kagera ni kahawa, hivyo lilivyo anguka bei na uchumi ukaanguka. 2. Kuharibika kwa migomba (mnyauko) hali hii iliathiri upatiakanaji wa chakula pamoja na biashara ya ndizi na pombe za kienyeji.Ila wahaya sijui wanakwama wapi...
Ila kiufupi nchi nzima kuna umaskini wa kutisha!
Ikumbukwe kuwa uchumi wa Mkoa kagera unategemea kilimo na kilimo kwa nchi nzima kimekuwa duni kila miaka inavyozidi kwenda. TAFAKARI