Je, wajua mkoa unaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini Tanzania?

Je, wajua mkoa unaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini Tanzania?

Hebu nieleweshe, Mwanza kwa nini ina masikini wengi hivyo wakati ni jiji kubwa tu
Ina maana jiji lote limejaa slums au inakuaje sijaelewa
Daah mkuu mi hata sielewi cz sijawahi kufika jiji lolote nchini,niko naishi huku mkoani wilaya 1 hivi inaitwa Tanganyika.
 
Hebu nieleweshe, Mwanza kwa nini ina masikini wengi hivyo wakati ni jiji kubwa tu
Ina maana jiji lote limejaa slums au inakuaje sijaelewa
Idadi kubwa ya watu wanaoishi mkoa wa Mwanza wanaishi vijijini wilaya za Ukerewe, Magu, Kwimba, Buchosa, Misungwi na Sengerema
 
Ila wahaya sijui wanakwama wapi...

Ila kiufupi nchi nzima kuna umaskini wa kutisha!
 
Idadi kubwa ya watu wanaoishi mkoa wa Mwanza wanaishi vijijini wilaya za Ukerewe, Magu, Kwimba, Buchosa, Misungwi na Sengerema
Sawa lakini bado inaacha maswali sana
Kama mkoa ni jiji kubwa, wilaya zinazoizunguka jiji nadhani zilitakiwa kuwa na wananchi wenye kipato kuliko mikoa ambayo ina miji midogo, sababu ya kufanya biashara na hilo jiji na pia kwenda kufanya kazi huko, yaani Mwanza jiji ilitakiwa ku induce utajiri kwa wananchi wanaoishi wilaya za vijijini huko

Achilia mbali, mwanza imezingira ziwa Victoria, ina na pia kuna madini mengi kule
Halafu jamaa ni wachapakazi, tofauti na baadhi ya mikoa ambayo inadaiwa kuwa na wavivu
 
Kwahiyo mwanza kuna matajili wengi kuliko idadi nzima ya wakazi wa arusha, Kilimanjaro, Njombe, kagera dodoma

Ikiwa mwanza ina wakazi kalibia milion nne lakin ina masikin kiduchu ambao ni chini ya milion mbili kwahiyo mwanza kuna matajiri zaid ya milion mbili ambayo ni idadi ya watu mikoa kama arusha, Kilimanjaro, kagera dodoma

Ndo maana mwanza kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa
 
MKUU INSTANBUL UKO WAPI? WAHAYA MNAKWAMA WAPI? NJOO JISHEBEDUE TENA HUKU
 
Natabiri vita humu jf ya Dsm vs Mwz vs Arusha itaanza soon baada ya takwimu hizi
Hakuna mkoa wowote wa kushindana na Dar hapa Tz. Hizi vita Dar vs Arusha sijui Mwanza ni changamsha genge tu
 
Kwa kifupi Njombe,Katavi na Kilimanjaro ndio kuna unafuu.
 
Kwa kifupi Njombe,Katavi na Kilimanjaro ndio kuna unafuu.
Hakuna unafuu, ila kuna population ndogo. Hivyo hata sample na projections inachukua volume ndogo. Hivyo kiwango cha Umasikini kitaonekana kiko chini. Kiuhalisia mikoa mingi tu inafanana Au iko sawa katika level hiyo ya Umasikini.
 
Ndugu zangu wahaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
 
Namshukuru mungu mikoa mingi ya nchi hii naizunguka sana kikazi kusema ukweli hao jamaa biashara wanazomiliki wangekuwa na akili ile ya kimaendelea achilia mbali bila ndumba mkoa wao ungekuwa dubai ndogo
Mm nakuelewa wa stendi wao sasa ndo tatizo. Si unajua mali za tawiree babaaa zilivyo na machale
 
Yani eti Mbeya kun aumasikini wa chakula kuliko Dodoma.?m

Na nyie mnaamini data hizi.???
 
Sasa njombe wakinga hela zao kwa asilimia kubwa niza masharti ndo maana unawaona wengi wao wana hela ila wanaishi kama misukule
Upo sahihi kabisa,kwa pesa za madawa hawajambo,makambako waliwakimbiza watu wengi,Mwanjelwa soko lilipoungua wakinga walikuwa wanalilia Paka badala ya Mali, Tunduma nako saizi wametawala,Kkoo wameanza kutawala na waanzakukimbiwa ndiyo maana baadhi ya maeneo kama manzese bei nikama kkoo tu.

Shikamoo wakinga
 
Mi mwenyewe nimeshangaa kuona eti Mara inaahueni ya chakula kuliko Mbeya, wakati huo huo njaa ikiingia Mara huwa wanakwenda Kuhemea Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi.
Sijaelewa asilani.
Yani eti Mbeya kun aumasikini wa chakula kuliko Dodoma.?m

Na nyie mnaamini data hizi.???
 
Back
Top Bottom