Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Na tuchukulie ile hasara iliyoingizwa na mashirika ya kiserikali kama AIR TANZANIA ingekuwa faida, tungeweza kupunguza mkopo huo.Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mpaka sasa Tanzania ina jumla ya mikoa 31, Wilaya 184, Kata 3,956, Vijiji 12,319.
SHULE
1.Kama fedha hiyo ingetumika kujenga madarasa, kwa wastani gharama ya chumba kimoja cha darasa tuseme ni milioni 3. Hivyo tungeweza kupata jumla ya vyumba milioni 10. Yaani kila kata ingeweza kuwa na vyumba 2,782. Hiyo ni zaidi ya shule complete 278 kwa kila kata. Mind you sio kwamba hizo kata hazikuwa na shule kabla, Bali hizo zingekuwa shule mpya kabisa nchi nzima.Kwa maana nyingine mtoto hatembei zaidi ya hatua 10 kufika shule.
HOSPITALI/ZAHANATI
Tuseme kwa wastani, kituo kimoja cha afya/hospitali kinagharimu milioni 200. Na tuseme Trilioni kadhaa zilitumika kujengea madarasa imebaki Trilioni 25. Ukigawanya unapata hospitali/vituo vya afya 125,000 standard kabisa na kila kata ingekuwa na vituo 32 vya afya! Je, kwenye kata yako kuna vituo vingapi vya afya?
MIRADI YA MAJI
Kwa wastani mradi mmoja mkubwa wa maji unagharimu Bilioni 2. Tuseme ukitoa fedha za madarasa ma zahanati/hospitali, tumebaki na Trilioni 20. Hii inatosha kwa miradi mikubwa 10,000 yaani kila kata ina miradi mikubwa walau 2. Hii inatosha si tu kwa maji ya nyumbani, bali kwa umwagiliaji! Yaani kwa maana nyingine maji ya kutosha kwa kiasi kikubwa mno! Yaani kila mtanzania mmoja anaweza kumiliki bomba lake la maji peke yake! Je, hali ikoje mahali ulipo?
UJENZI WA BARABARA
Kwa wastani kilimita 2.2 za barabara ya lami yenye hadhi ya barabara kuu, au hadhi ya kimataifa kabisa, inagharimu takribani Tsh bilioni 1. Kwa kiasi cha Trilioni zilizokopwa, Tungekuwa na zaidi ya kilomita 66,000 ya barabara nzuri sana za lami nchi nzima( kumbuka si kwamba hapakuwa na barabara za lami hapo kabla) Kwa kilomita hizo, hata kwenda nyumba ya jirani kila mtanzania alitakiwa akanyage lami.Yaani hadi njia za uchochoroni zilipaswa kuwa lami. Je, hali ikoje hapo ulipo?
VIWANDA VIDOGO
Haoa tunazungumzia viwanda vidogo kama vile kiwanda cha kuchakata katani, mafuta, mbolea, chai nk.
Tuseme kwa wastani kiwanda kimoja kinagharimu takriban Bilioni 3. Kwa kiasi cha mkopo kilichokopwa, Tungekuwa na viwanda vidogo zaidi ya viwili kila kata na chenchi ya uendeshaji wa kila kiwanda ingebaki na ajira kadhaa zingezalishwa.
Je, hapo ulipo umezungukwa na viwanda vingapi katika kata yako?
Amka usingizini ww!Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mpaka sasa Tanzania ina jumla ya mikoa 31, Wilaya 184, Kata 3,956, Vijiji 12,319.
SHULE
1.Kama fedha hiyo ingetumika kujenga madarasa, kwa wastani gharama ya chumba kimoja cha darasa tuseme ni milioni 3. Hivyo tungeweza kupata jumla ya vyumba milioni 10. Yaani kila kata ingeweza kuwa na vyumba 2,782. Hiyo ni zaidi ya shule complete 278 kwa kila kata. Mind you sio kwamba hizo kata hazikuwa na shule kabla, Bali hizo zingekuwa shule mpya kabisa nchi nzima.Kwa maana nyingine mtoto hatembei zaidi ya hatua 10 kufika shule.
HOSPITALI/ZAHANATI
Tuseme kwa wastani, kituo kimoja cha afya/hospitali kinagharimu milioni 200. Na tuseme Trilioni kadhaa zilitumika kujengea madarasa imebaki Trilioni 25. Ukigawanya unapata hospitali/vituo vya afya 125,000 standard kabisa na kila kata ingekuwa na vituo 32 vya afya! Je, kwenye kata yako kuna vituo vingapi vya afya?
MIRADI YA MAJI
Kwa wastani mradi mmoja mkubwa wa maji unagharimu Bilioni 2. Tuseme ukitoa fedha za madarasa ma zahanati/hospitali, tumebaki na Trilioni 20. Hii inatosha kwa miradi mikubwa 10,000 yaani kila kata ina miradi mikubwa walau 2. Hii inatosha si tu kwa maji ya nyumbani, bali kwa umwagiliaji! Yaani kwa maana nyingine maji ya kutosha kwa kiasi kikubwa mno! Yaani kila mtanzania mmoja anaweza kumiliki bomba lake la maji peke yake! Je, hali ikoje mahali ulipo?
UJENZI WA BARABARA
Kwa wastani kilimita 2.2 za barabara ya lami yenye hadhi ya barabara kuu, au hadhi ya kimataifa kabisa, inagharimu takribani Tsh bilioni 1. Kwa kiasi cha Trilioni zilizokopwa, Tungekuwa na zaidi ya kilomita 66,000 ya barabara nzuri sana za lami nchi nzima( kumbuka si kwamba hapakuwa na barabara za lami hapo kabla) Kwa kilomita hizo, hata kwenda nyumba ya jirani kila mtanzania alitakiwa akanyage lami.Yaani hadi njia za uchochoroni zilipaswa kuwa lami. Je, hali ikoje hapo ulipo?
VIWANDA VIDOGO
Haoa tunazungumzia viwanda vidogo kama vile kiwanda cha kuchakata katani, mafuta, mbolea, chai nk.
Tuseme kwa wastani kiwanda kimoja kinagharimu takriban Bilioni 3. Kwa kiasi cha mkopo kilichokopwa, Tungekuwa na viwanda vidogo zaidi ya viwili kila kata na chenchi ya uendeshaji wa kila kiwanda ingebaki na ajira kadhaa zingezalishwa.
Je, hapo ulipo umezungukwa na viwanda vingapi katika kata yako?
Are you normal? Una weka awamu 5 vs awamu 1Amka usingizini ww!
Mbona umeandika mambo ya kufikirika sana kuliko uhalisia.
Tupe mfano wa nchi iliyowahi kufanya hayo. Awamu zilizopita zilikopa zaidi ya 60T, kwa nini hazikumaliza shida hizo unazozitaja. Hata hao wanaotukopesha hawajamaliza shida hizo ulizozitaja. Hii yako ni Hadithi ya NCHI YA KUSADIKIKA
Kwahiyo mkuu unataka utuambie kila nchi duniani ina upungufu wa madarasa, mahospitali, upungufu wa miradi ya maji na miundombinu mibovu?Amka usingizini ww!
Mbona umeandika mambo ya kufikirika sana kuliko uhalisia.
Tupe mfano wa nchi iliyowahi kufanya hayo. Awamu zilizopita zilikopa zaidi ya 60T, kwa nini hazikumaliza shida hizo unazozitaja. Hata hao wanaotukopesha hawajamaliza shida hizo ulizozitaja. Hii yako ni Hadithi ya NCHI YA KUSADIKIKA
Kwahiyo mkuu unataka utuambie kila nchi duniani ina upungufu wa madarasa, mahospitali, upungufu wa miradi ya maji na miundombinu mibovu?
Kuna nchi watu hawana shida ndogondogo nenda Ulaya ukajionee.
Ndio nimeuliza kwa nini more than 60T zilizokopwa huko nyuma hazikumaliza matatizo yetu halafu mnataka 30T za miaka mi4 ziwe zimemaliza shida ya Madarasa, vituo vya Afya, Mahospitali, Mabarabara, Maji ...Are you normal? Una weka awamu 5 vs awamu 1
Halafu huyu huyu Samia na watu wake na CCM yake eti haina pesa za kuajiri walimu wapya 200,000 tu nchi nzima...!Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mpaka sasa Tanzania ina jumla ya mikoa 31, Wilaya 184, Kata 3,956, Vijiji 12,319.
SHULE
1.Kama fedha hiyo ingetumika kujenga madarasa, kwa wastani gharama ya chumba kimoja cha darasa tuseme ni milioni 3. Hivyo tungeweza kupata jumla ya vyumba milioni 10. Yaani kila kata ingeweza kuwa na vyumba 2,782. Hiyo ni zaidi ya shule complete 278 kwa kila kata. Mind you sio kwamba hizo kata hazikuwa na shule kabla, Bali hizo zingekuwa shule mpya kabisa nchi nzima.Kwa maana nyingine mtoto hatembei zaidi ya hatua 10 kufika shule.
HOSPITALI/ZAHANATI
Tuseme kwa wastani, kituo kimoja cha afya/hospitali kinagharimu milioni 200. Na tuseme Trilioni kadhaa zilitumika kujengea madarasa imebaki Trilioni 25. Ukigawanya unapata hospitali/vituo vya afya 125,000 standard kabisa na kila kata ingekuwa na vituo 32 vya afya! Je, kwenye kata yako kuna vituo vingapi vya afya?
MIRADI YA MAJI
Kwa wastani mradi mmoja mkubwa wa maji unagharimu Bilioni 2. Tuseme ukitoa fedha za madarasa ma zahanati/hospitali, tumebaki na Trilioni 20. Hii inatosha kwa miradi mikubwa 10,000 yaani kila kata ina miradi mikubwa walau 2. Hii inatosha si tu kwa maji ya nyumbani, bali kwa umwagiliaji! Yaani kwa maana nyingine maji ya kutosha kwa kiasi kikubwa mno! Yaani kila mtanzania mmoja anaweza kumiliki bomba lake la maji peke yake! Je, hali ikoje mahali ulipo?
UJENZI WA BARABARA
Kwa wastani kilimita 2.2 za barabara ya lami yenye hadhi ya barabara kuu, au hadhi ya kimataifa kabisa, inagharimu takribani Tsh bilioni 1. Kwa kiasi cha Trilioni zilizokopwa, Tungekuwa na zaidi ya kilomita 66,000 ya barabara nzuri sana za lami nchi nzima( kumbuka si kwamba hapakuwa na barabara za lami hapo kabla) Kwa kilomita hizo, hata kwenda nyumba ya jirani kila mtanzania alitakiwa akanyage lami.Yaani hadi njia za uchochoroni zilipaswa kuwa lami. Je, hali ikoje hapo ulipo?
VIWANDA VIDOGO
Haoa tunazungumzia viwanda vidogo kama vile kiwanda cha kuchakata katani, mafuta, mbolea, chai nk.
Tuseme kwa wastani kiwanda kimoja kinagharimu takriban Bilioni 3. Kwa kiasi cha mkopo kilichokopwa, Tungekuwa na viwanda vidogo zaidi ya viwili kila kata na chenchi ya uendeshaji wa kila kiwanda ingebaki na ajira kadhaa zingezalishwa.
Je, hapo ulipo umezungukwa na viwanda vingapi katika kata yako?
Halafu huyu huyu Samia na watu wake na CCM yake eti haina pesa za kuajiri walimu wapya 200,000 tu nchi nzima...!
Wizi mtupu mwanzo
Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mpaka sasa Tanzania ina jumla ya mikoa 31, Wilaya 184, Kata 3,956, Vijiji 12,319.
SHULE
1.Kama fedha hiyo ingetumika kujenga madarasa, kwa wastani gharama ya chumba kimoja cha darasa tuseme ni milioni 3. Hivyo tungeweza kupata jumla ya vyumba milioni 10. Yaani kila kata ingeweza kuwa na vyumba 2,782. Hiyo ni zaidi ya shule complete 278 kwa kila kata. Mind you sio kwamba hizo kata hazikuwa na shule kabla, Bali hizo zingekuwa shule mpya kabisa nchi nzima.Kwa maana nyingine mtoto hatembei zaidi ya hatua 10 kufika shule.
HOSPITALI/ZAHANATI
Tuseme kwa wastani, kituo kimoja cha afya/hospitali kinagharimu milioni 200. Na tuseme Trilioni kadhaa zilitumika kujengea madarasa imebaki Trilioni 25. Ukigawanya unapata hospitali/vituo vya afya 125,000 standard kabisa na kila kata ingekuwa na vituo 32 vya afya! Je, kwenye kata yako kuna vituo vingapi vya afya?
MIRADI YA MAJI
Kwa wastani mradi mmoja mkubwa wa maji unagharimu Bilioni 2. Tuseme ukitoa fedha za madarasa ma zahanati/hospitali, tumebaki na Trilioni 20. Hii inatosha kwa miradi mikubwa 10,000 yaani kila kata ina miradi mikubwa walau 2. Hii inatosha si tu kwa maji ya nyumbani, bali kwa umwagiliaji! Yaani kwa maana nyingine maji ya kutosha kwa kiasi kikubwa mno! Yaani kila mtanzania mmoja anaweza kumiliki bomba lake la maji peke yake! Je, hali ikoje mahali ulipo?
UJENZI WA BARABARA
Kwa wastani kilimita 2.2 za barabara ya lami yenye hadhi ya barabara kuu, au hadhi ya kimataifa kabisa, inagharimu takribani Tsh bilioni 1. Kwa kiasi cha Trilioni zilizokopwa, Tungekuwa na zaidi ya kilomita 66,000 ya barabara nzuri sana za lami nchi nzima( kumbuka si kwamba hapakuwa na barabara za lami hapo kabla) Kwa kilomita hizo, hata kwenda nyumba ya jirani kila mtanzania alitakiwa akanyage lami.Yaani hadi njia za uchochoroni zilipaswa kuwa lami. Je, hali ikoje hapo ulipo?
VIWANDA VIDOGO
Haoa tunazungumzia viwanda vidogo kama vile kiwanda cha kuchakata katani, mafuta, mbolea, chai nk.
Tuseme kwa wastani kiwanda kimoja kinagharimu takriban Bilioni 3. Kwa kiasi cha mkopo kilichokopwa, Tungekuwa na viwanda vidogo zaidi ya viwili kila kata na chenchi ya uendeshaji wa kila kiwanda ingebaki na ajira kadhaa zingezalishwa.
Je, hapo ulipo umezungukwa na viwanda vingapi katika kata yako?
Waongo hao,tatizo ni ccmWanazuoni wanasema dunia ipo kwenye Great Inflation. Nchi maskini haziwezi kumudu gharama za import hivyo zinabidi kukopa sana, huku zikiweka mali zao kama bandari, mashirika ya umeme, madini, airport na ardhi kama dhamana. Endgame ni kuwa nchi hizi zitafeli na kuanguka moja baada ya nyingine.
Makisio ya gharama ulizo weka yana upungufu mkubwa, infact hakuna kituo cha Afya cha thaman ya 200M, hakuna! Enzi za JPM alitoa 400M kila wilaya lakin haikutosha kumaliza ujenzi wa kituo kimoja. Pia hakuna darasa la Tsh 3M hakuna!Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo.