Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

Darasa moja ni 20M to 30M. Kituo cha afya si chini ya 500M
 
Pamoja na Kukopa sio kwamba nyingine za ndani hazikusanywi kwahio it is worse than we might think (Ukizingatia hapo hapo kuna Misaada ya COVID ambayo sisi tulisema hatuna na Barakoa tulikataa Kuzivaa) lakini kwenye fungu la kupunguza maumivu ambayo sisi hatukuwa nayo tulipewa...; Anyway nilishauliza kitambo..


Na si hivyo tu nikajiuliza miradi ya ndani ambayo nguvu kazi na rasilimali tunaweza kutoa ndani kwanini tunakopa ?

 
Sema uzuri wa nchi yetu viongoz hawakosei. Na muda utafika watakuwa wanaitwa holly leaders utakuwa ukihoj tuu unalaaniwa na vyombo vya usalama. Anyway tuendelee kuishi.
 
Ok basi hata hiyo misingi ya milioni 3 na vituo vya afya ambavyo havijakamilika viko wapi?
 
Kumbe hata nguzo za zege za TANESCO ni janga tu. Pamoja na muwekezaji kulipwa mipesa mingi hajajenga kiwanda nchini, anaziagiza toka nje na kuwauzia TANESCO kwa bei ya ajabu. CAG kapendekeza hiyo kamba ikatwe na TANESCO ama waziagize wao wenyewe au wajenge kiwanda. Ni aibu iliyoje?
 
Ok basi hata hiyo misingi ya milioni 3 na vituo vya afya ambavyo havijakamilika viko wapi?
Hii ni mada nyingine ambayo ulipaswa uilete ww mwenyewe! mimi ni mekuambia uhalisia wa makisio yako yanaupungufu mkubwa . Darasa la 3M likoje? zahati ya 200M? au ulimaanisha dispensary
 
Kumalizia miradi ya awamu ya tano
 
Siyo lazima mapoyoyo kuchangia mada kama hizi,

Hii mada inatouch mpaka maccm wenye uwalau wa akili


Wewe wa wapi?
 
Kila awamu ilikuwa na wapigaji halafu hiyo mikopo inakuja na masharti yake.
 
Siyo lazima mapoyoyo kuchangia mada kama hizi,

Hii mada inatouch mpaka maccm wenye uwalau wa akili


Wewe wa wapi?

Kila awamu ilikuwa na wapigaji halafu hiyo mikopo inakuja na masharti yake.
Huo ndio usahihi na sio eti awamu ya Samia tu ndo imeshindwa kutumia vizr mikopo.
CCM ya tokea Nyerere mpk Samia ni ile ile tu
 
T
Trillion 60 kwa miaka kuanzia uhuru 1961 mpaka 2020 ndiyo mikopo wa Tanzania. Lakini kwa miaka minne tu mama kakopo trillion 30. Linganisha.
 
T

Trillion 60 kwa miaka kuanzia uhuru 1961 mpaka 2020 ndiyo mikopo wa Tanzania. Lakini kwa miaka minne tu mama kakopo trillion 30. Linganisha.
Issue ni kwamba Samia ni kwamba Samia kashindwa kumaliza Matatizo ya waTZ kwa 30T ndo nikauliza kwa nini zile more than 60T hazikumaliza shida zetu? Au ziliisha ila Mama baada ya kuingia ndo shida zimeanza kujitokeza?
 
ccm wanafuja hela sana,huku vijana wakiwa hawana ajira.ccm wanauza nchi
 
Mkuu naona kama umesshau miradi ya SGR ingegharimu kiasi Gani fedha hizo, lakini pia sikuona ukizungumzia daraja la Kigongo - Busisi lingegharimu kiasi Gani. Ila nashukuru kwamba umeweka mahesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…