Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

Je wazenji wana deni? Au ndo wanaishi kwa mgongo wa Tanganyika

Tanganyika haiko tayari kuongozwa na rais mwanamke ni vile watu wanafosi tu. Hata dini zote zimekataza.
 
Kwani ukisikia Boss wa PCCB anamwambia Rais bil kadhaa zilikusanywa sehemu na hazikufikishwa Bank sasa hapo unategemea nn???
 
Wananumua mandinga makubwa huyaoni.
 
Hakuna mtaalamu wa maswali ya Fedha atupe maelekezo zaidi juu ya hii mikopo?



Nauliza hivi Siyo kwamba HATUNA Elimu ya hizi Fedha?

Mikopo?

It's beyond our comprehension... Isn't it?


Structure nzima ya IMF , na all monetary Systems in the world ...



Mchawi nani kwani tunamjuaaaa...

Panya msinambi ...

Anyway bangi ni chai
 
No Reform , No Election
 
Issue ni kwamba Samia ni kwamba Samia kashindwa kumaliza Matatizo ya waTZ kwa 30T ndo nikauliza kwa nini zile more than 60T hazikumaliza shida zetu? Au ziliisha ila Mama baada ya kuingia ndo shida zimeanza kujitokeza?
Wewe inaonyesha Kama huna akili
Yaani miaka 60 trillion 60
Alafu Unataka kulinganisha na miaka 4 trillion 30 sawa na wastani wa trillion 7 Kila mwaka

Alafu huoni tatizo kweli , uko timamu upstairs mkuu ???
 
Issue ni kwamba Samia ni kwamba Samia kashindwa kumaliza Matatizo ya waTZ kwa 30T ndo nikauliza kwa nini zile more than 60T hazikumaliza shida zetu? Au ziliisha ila Mama baada ya kuingia ndo shida zimeanza kujitokeza?
Tumia akili japo kidogo broo. Tangu uhuru 1961 mpaka 2020 hesabu viwanda zaidi 400 vya Nyerere, barabara, mikopo ya elimu ya juu ya Kikwete, kufufua uchumi kwa Mwinyi na SGR ya Magufuli na Bwawa la umeme, vyoote hivyo kwa 60 Trillion, uniambie 30 Trillion imefanya nini kwa miaka minne tu kama hazijawekwa mifukoni badala ya maendeleo.
 
Sasa zimeenda wapi maana hayo yote uliyosema Hatuyaoni
 
Akili yakuambiwa....
 
Miaka mi4 trillion 30, huyuhatufai ni vile watanzania tumeziba masikio, kuna wengine wameamua kuwa wanafiki sababu ndipo wanapata ugali. Ila kiuhalisia huyu hafai kuwa raisi wa nchi hii.
Ndio wale wale tu, hawajali taifa, wanajali maslahi binafsi
Sio kiongozi mahiri, angekuwa na hekima angeomba apumzike akalee Wajukuu !! Kung’ang’ania kuendelea kugombea hakuitendei haki nchi na yeye mwenyewe.
 
Ndio kwanza tubarydi nyuma maji, umeme shida. Elimu bure imefutwa huduma za afya ni changamoto.

Mwendokasi shida, ufisadi umetamalaki, dhuluma, utapeli, utekaji, kubambikiwa kesi. Kuna hata kitu kimoja hii serikali ya awamu ya sita ineweza kufanya kwa ufanisi.
 
A
Hii ni mada nyingine ambayo ulipaswa uilete ww mwenyewe! mimi ni mekuambia uhalisia wa makisio yako yanaupungufu mkubwa . Darasa la 3M likoje? zahati ya 200M? au ulimaanisha dispensary
Basi tuseme dispensary, ziko wapi sasa
 
Kumbe alichokopa Mama Samia Ni Sawa na 33% ya deni lote (Trillion 91), Kwa miaka minne 🤔🤔
Pengine Ni Miradi mikubwa aliyoachiwa kuimalizia ndiyo imemfanya akope Pesa ndefu kwa muda mfupi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…