Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

Akili yako iko timamu kweli? Hiyo miradi ilishafika stage ya kukamilisha, Hivi 30 Trilions unazijua kweli?
Hujui kinachoendelea nchini wewe pimbi, kaa kimya tu kwa shemeji yako unako kula bure na kushinda sebuleni
 
Machawa bwana mnaongea kama mmekatwa vichwa.
Wewe ndiyo unaongea kama malaya. Umeambiwa toa mfano wa nchi ambayo imeanguka kwa sababu ya madeni, huna hata moja. Pumbavu pimbi mkubwa wewe
 
Mwiteni Mheshimiwa @Dr Mwigulu Nchemba aje atuambie hiyo hela imeenda wapi maana maisha ni yale yale ya tokea Mheshimiwa mwendazake zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…