luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Sasa si ni kheri ufungwe ugenn, kuliko li Yanga lilipigwa kwa Mkapa na ka timu ka Botswana kanaitwa township Rollers ....JINGA kabisaaaHivi kuangukia PWA ndo kuangukia pua au ndo kupigwa 4G kama za Kaizer chifu?
Sishangai wewe kutoka kwenye mada na kuanzisha mada ingine ya elimu yetu na mwandiko, kwakuwa ushajua mada uliyoanzisha imekushinda huna budi kubadiri gia angani lakini pia kutokana na pointless ulizoandika kwenye mada, mtu yoyote akisoma Tu ni wazi atajua wewe ndio Una elimu ndogo Sana maana huwezi kuwa uko vizuri kichwani alafu ukakurupuka Tu na kuandika kitu usichokijuaHalafu kwa mwandiko huu inawezekana nabishana na mwanafunzi wa sekondari ya kata maneno kama "hunastick" ungeondoa hiyo "h" na "kuringana" ungeweka "l" badala ya "r"
but i think "kubadiri gia angani" should be "kubadili gia angani" it is an "L" and not "R"Sishangai wewe kutoka kwenye mada na kuanzisha mada ingine ya elimu yetu na mwandiko, kwakuwa ushajua mada uliyoanzisha imekushinda huna budi kubadiri gia angani lakini pia kutokana na pointless ulizoandika kwenye mada, mtu yoyote akisoma Tu ni wazi atajua wewe ndio Una elimu ndogo Sana maana huwezi kuwa uko vizuri kichwani alafu ukakurupuka Tu na kuandika kitu usichokijua
Ili ujue umeandika ujinga hakuna ata mwana Yanga mwingine ambae amekusapoti kwenye haya mashudu yako, nawao hawataki kuonekana viazi kama mwanzisha uzi, Kwa ushauri tu mkuu hakikisha unafanya research ya kutosha Kabla haujaanzisha mada hapa JF, maana humu kuna kila Aina ya watu, ila tofauti na hapo mada zako uwe unaanzisha kijiweni kwenu huko maana huko ndio unaweza ukawa unaonekana ni bright ila huku we ni KIAZI tu
Me ata sishtuki Kwa kukosea spelling mkuu maana hizo ni taaluma za watu na naheshimu taaluma zao, me naandika ili kila mmoja wetu aelewe, kwahiyo tumekubaliana kuwa ulikurupuka kwenye kuleta mada usiyoijua sindio?but i think "kubadiri gia angani" should be "kubadili gia angani" it is an "L" and not "R"
Mkubwa wala hujakosea spelling ila unachanganya "L "na "R" tatizo kubwa la watu ambao hawajapitia maandishi mengi, watu wasio na utamaduni wa kusoma vitabu, na ndiyo maana tumesumbuana sana kwenye mada ya msingiMe ata sishtuki Kwa kukosea spelling mkuu maana hizo ni taaluma za watu na naheshimu taaluma zao, me naandika ili kila mmoja wetu aelewe, kwahiyo tumekubaliana kuwa ulikurupuka kwenye kuleta mada usiyoijua sindio?
Issue sio kutaka kusoma au kuandika, issue ni nini kimeandikwa mkuu kama nimeandika na umeelewa inatosha maana ndio maana ya mawasiliano Kwa kutumia lugha flani, so kama umenielewa acha utoto na urudi kwenye mada, me naweza nikawa nasoma vitabu ila swala ni vitabu gani na kama nasoma basi ni vya taaluma yangu hivo bahati mbaya sijali kuhusu matumizi ya L na RMkubwa wala hujakosea spelling ila unachanganya "L "na "R" tatizo kubwa la watu ambao hawajapitia maandishi mengi, watu wasio na utamaduni wa kusoma vitabu, na ndiyo maana tumesumbuana sana kwenye mada ya msingi
hutaki kusoma unataka kuandika tu
Watakua kama NamungoMaelezo mengiiiii watu wa YANGA hamna timu ya kushiriki CAF club tournaments mta angukia pwaa tu