Sishangai wewe kutoka kwenye mada na kuanzisha mada ingine ya elimu yetu na mwandiko, kwakuwa ushajua mada uliyoanzisha imekushinda huna budi kubadiri gia angani lakini pia kutokana na pointless ulizoandika kwenye mada, mtu yoyote akisoma Tu ni wazi atajua wewe ndio Una elimu ndogo Sana maana huwezi kuwa uko vizuri kichwani alafu ukakurupuka Tu na kuandika kitu usichokijua
Ili ujue umeandika ujinga hakuna ata mwana Yanga mwingine ambae amekusapoti kwenye haya mashudu yako, nawao hawataki kuonekana viazi kama mwanzisha uzi, Kwa ushauri tu mkuu hakikisha unafanya research ya kutosha Kabla haujaanzisha mada hapa JF, maana humu kuna kila Aina ya watu, ila tofauti na hapo mada zako uwe unaanzisha kijiweni kwenu huko maana huko ndio unaweza ukawa unaonekana ni bright ila huku we ni KIAZI tu