Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni utaratibu/mfumo uliowekwa na binadamu kutengeneza mwenendo bora wa maisha ya binadamu kifamilia,kiuchumi,kisiasa na mchangamano wa watu wote kwa ujumla!
Misingi ya heshima na nidhamu kwa kila mmoja! Uwe ndani ya dini au uwe nje ya dini cha msingi ni kuwa na utu,kujithamini na kuthamini wengine!
Kwangu dini kuu na kubwa ni Upendo!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Mambo mengi ya hizo falme na tawala za giza ni za kufikirika sana! Hakuna mtu alie extract to the skeleton kuleta ushahidi wa dhahiri! Kwenye huo ulimwengu watu wanakwenda kwa assumption tuu
Yani hakuna ushahidi wa moja kwa moja na ndio loop hole hiyo watu wanaitumia na kila mtu kuibuka na lake! Nani wakuyapinga wakat hizo falme haziko real?
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Ila miongon mwa symbol na tawala za giza ,mwenge upo
Naamini kuwa,MWENGE WA UHURU NI SANAMU.
Na kukimbizwa kwa mwenge ni ibada ya sanamu ya miungu kwa kuzingatia mashartie !
Kweli kumcha MUNGU ni chanzo cha maarifa,, pole mkuu
sifahamu umri wako, hebu prove tangu unausikia wa Uhuru - umethibitisha kuwa Mwenge ni kweli ni alama masonic? Zaidi ya dhana take kuwa "sisi tunataka kuwasha mwenge....."mwenge ni alama ya masonic,uchawi na magic ana devol ndo asikuambiye m2.ila amna nipo 2 NASOMA VP TUUTOE MWENGE USIWE KENYE KATIBA?
Tulitakiwa kuzama ndani kujua why Mwenge? Kwa nini ulianzishwa? Tusiishie kusema ni Masonic symbol, in fact back sijaona ubaya wa Mwenge kwa msingi wake na dhana yake - hayo mengine ni specularations tu!Exactly
Na ndio maana hilo dudu ccm watu wanafikiri lipo tu hapo!
Nop!kuna maagano hapo yaliingiwa ambayo huwez kuvunja kirahisi rahisi tu
Lete orodha ya waliyokufa, Igunga,Nzega,Urambo,Uyui, na kote ulikopita Mwenge? Kwa taarifa yako mwenge wa mwaka huu - hakuna aina ya msiba wowote uliotekea ukihusishwa na mbio za Mwenge ispokuwa ajali tu na majeruhi- acha fixhuku kwetu Tabora kila msafara ulikopita amekufa mtu. wamegongwa na magari ya msafara wa mwenge. kitu kingine kinachonishangaza ni kwann wale Askari wanaolinda mwenge hawarusiwi kuushika?? na ukiisha mafuta yuko mtu maalum ambaye anauongeza mafuta na anakua na msafara mwanzo mwisho. wakati akiwa anaongeza mafuta anaingia na watu maalum chumbani kwani.hata wale FFU wanaoubeba hawaingii bali wanasimama mlangoni. nini siri ya mwenge???
lete evendence,mwenge ushakimbizwa tangu 1961 - unaweza kuja na orodha japo kwa kifupi? 1961 inaweza kuwa umri mrefu kwako, anza na waliyofariki kuanzia 2010 hadi juzi.Je,kuna ukweli kuwa,kila baada ya kumaliza kukimbiza mbio za mwenge wa taifa letu,kuna mkimbizaji mmojawapo atafariki ?
usilolijua ni sawa na usiku wa giza ....huwa sioni faida ya mwenge kuukimbiza nchi nzima
In Jamii forum is where people dare to talk openly. Kama unajua si useme? Usilolijua ni sawa na usiku wa giza; what does that suppose to mean especially in a topic like this one? Kama unajua sema, Kama unabisha, Bisha kwa hoja ueleweke...usilolijua ni sawa na usiku wa giza ....
Mkuu sema wewe huamini but Usiseme ni za kufikirika!
Hivi vitu vipo shida ni kuwa watu mnataka evidence kama science bt uchawi/nguvu za giza hazina evidence km science
usilolijua ni sawa na usiku wa giza ....